Idd Amin alivyofagilia kiswahili.

Idd Amin alivyofagilia kiswahili.

Kiswahili ni lugha poa sana ukiijua wengi tunaichukulia poa sababu tunaiongea toka wadogo. Ila waliojifunza wakaielewa wanaithamini sana.
 
Amini alijijengea maadui wengi Uganda, wengi walikuchukia Kiswahili kwasababu yake. Waliona Kiswahili ni lugha ya illiterates.
 
Kiswahili ni lugha makini sana
Nani moja ya nguzo muhimu sana kwa umoja wa nchi hii.

Jamaa alikuwa na maono mazuri sana.

South Afrika nayo imefuata tayari baada ya South Sudan
 
Kumbe alikua na maono mazuri tu kuhusu kiswahili.
Huyu jamaa alikuwa na mazuri yake pia.
👉🏾Alikataa misaada ya wazungu, alisema ina hidden agenda ndani yake ni kheri msaada wa mwarabu.
👉🏾Kuvaa ndala nje ya nyumba yako ilikuwa kosa la jinai. Hata kama unakwenda kununua kibiriti dukani vaa viatu na socks. Hii ilileta discipline katika mavazi.
 
Huyu jamaa alikuwa na mazuri yake pia.
[emoji1485]Alikataa misaada ya wazungu, alisema ina hidden agenda ndani yake ni kheri msaada wa mwarabu.
[emoji1485]Kuvaa ndala nje ya nyumba yako ilikuwa kosa la jinai. Hata kama unakwenda kununua kibiriti dukani vaa viatu na socks. Hii ilileta discipline katika mavazi.
Ha ha Safi angalau historia yake wangeyatambua haya mazuri kidogo aliyofanya
 
Kuna mtanzania alilihujumu taifa. Endelea kusoma hapa chini
Mwaka 2011 ktk maadhimisho ya siku ya kuzaliwa malkia wa Uingereza, wakenya walisemekana kuwa ndio wenye Lugha ya kiswahili na walitakiwa kutoa speech ktk lugha ya kiswahili. Ukweli ni kwamba wao hawapo vizuri hivyo walimkodi mtanzania MRISHO MPOTO ili akatoe speech ile mbele ya malkia naye akafanya hivyo, sasa km serikali ya awamu ile haikulipigia kelele hilo ingewezaje kupigia kelele suala la mlima Kilimanjaro kuwa ni wa Kenya?

Ila kwa kipindi hiki tarajia kuona watu wakiwajibika ipasavyo, na masuala km hayo ya mlima Kilimanjaro pamoja na Kiswahili hayawez tokea tena.
Na mimi nasisitiza kuwa
MPOTO aliihujumu Jamhuri ya Muungano Tanzania kitamaduni, kidesturi,kisiasa na kidiplomasia kama kweli tukio hili lilitokea na yeye alijua kabisa kuwa amekodiwa kwa malengo hayo ya wakenya na UK. Kwa kitendo hicho, Mpoto anatakiwa kuomba radhi Jamhuri ya Muungano Tanzania kabla rungu halijamshukia. Ule ulikuwa utovu wa uzalendo wa hali ya juu kabisa.
 
Back
Top Bottom