Idd Cheche umezingua,refa alichowafanyia Azam sio haki ,mpira wetu hautaendelea kamwe

simba bana naona mnataka kuhamisha magoli. simba ndio wahongaji wakubwa wa marefa
 
simba bana naona mnataka kuhamisha magoli. simba ndio wahongaji wakubwa wa marefa
hivi huwa ni marefa tu,makwasukwasu ndo wanahongaga wachezaji tu?sasa jamaa yangu yule wakala Thobias kashatoa siri nani aliyempa milioni tatu iliyoenda kwa sure boy..shame on you mbute,mambo gani hayo bana si mngempa cash tu???mambo ya wakala tena ,na refa kakataa goli safi la kusawazisha la azam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…