Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
simba bana naona mnataka kuhamisha magoli. simba ndio wahongaji wakubwa wa marefa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi huwa ni marefa tu,makwasukwasu ndo wanahongaga wachezaji tu?sasa jamaa yangu yule wakala Thobias kashatoa siri nani aliyempa milioni tatu iliyoenda kwa sure boy..shame on you mbute,mambo gani hayo bana si mngempa cash tu???mambo ya wakala tena ,na refa kakataa goli safi la kusawazisha la azam.simba bana naona mnataka kuhamisha magoli. simba ndio wahongaji wakubwa wa marefa
wapenda haki wapenda mpira tumeumizwa na refa kukataa goal la halali la azam.Hongo zinaua soka la bongoWamefungwa Azam ila wanaoumia ni Simba maajabu haya
Achana nae,ndio wachawi wenyewe haoKwanini unateseka mkuu,Yanga tupate pesa wapi ya kuhonga mkuu,jana ulisema Yanga wanapigwa 6-1,nipe matokeo ya leo,[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapenda haki mbumbumbu mmeumia kuliko mwenye timuwapenda haki wapenda mpira tumeumizwa na refa kukataa goal la halali la azam.Hongo zinaua soka la bongo
hapa naandika email takukuru wafatilie refa wa leo.KAKATAA GOAL HALALI KABISA LA AZAMWapenda haki mbumbumbu mmeumia kuliko mwenye timu
hiloooo....! hata aibu huoni hakuna anaekupa support kwamba lile ni goli...yani liwe goli alaf azam wakae tu kimya we jiongeze bhanalile goal lile refa kakataaa goal la wazi kabisa .,dah
Uandikaji mwemahapa naandika email takukuru wafatilie refa wa leo.KAKATAA GOAL HALALI KABISA LA AZAM
Mamikono ya Ngoma hukuona kamfanya Dante ngazi. Magoli Yale Bongo anaruhusiwa Bocco tu kufunga mechi na Mbao MorogoroJibu swali kuhusu goal la azam lilokataliwa,nasikitikia sana mpira wetu
hapa naandika email takukuru wafatilie refa wa leo.KAKATAA GOAL HALALI KABISA LA AZAM