Ni lini jamani?
Ni lini jamani?
Jamani, msinitanie nikalala? Tutatafutana kibarua kikiota nyasi.
Amina amina!
Ndo nafanyiwa sklabu , kesho nitoke kwattu! Nyelele dei ndy inapuyanga, tunasubiri hii.
.;"";. .;"";. IDDI IL HAJJ ; ;
'+, ,+'
"+,+" NAPENDA NIWE WA MWANZO KTK KUKUTAKIA MAANDALIZI MEMA YA CKU KUU
*ITIKIA DUA HII *
¤ALLAHUMMA TAQABAL SWIYAMANAA, WA QIYAMANAA,WASUJUDANAA ,WARUQUANAA,WATAUBATANAA WAGHUFIRLANAA DHUNUUBANA, WAJA ALNAA HUSUNUL_KHAATIMA¤Amin.
Amina amina!
Ndo nafanyiwa sklabu , kesho nitoke kwattu! Nyelele dei ndy inapuyanga, tunasubiri hii.
Tukaribishane hiyo sikukuu jamaniAmina amina!
Ndo nafanyiwa sklabu , kesho nitoke kwattu! Nyelele dei ndy inapuyanga, tunasubiri hii.
Muhimu hayo shemegi.
Hahahahh uje uuchukue eid yako lol
Tukaribishane hiyo sikukuu jamani
Yaani usijali , Mbuzi wa4 mie na familia yangu hatuwamalizi.
hivi hii ni ile Idd ambayo kuchinja kunahusika zaidi?
Huku ughaibuni Idd ni juma nne.Jamani hii sikukuu mbona tata hivi ,tunaweza kusherekea j4 na j5 hivi hivi maana haieleweki.