kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Jamani, msinitanie nikalala? Tutatafutana kibarua kikiota nyasi.
hapana mama, sikukuu ni leo tarehe 15 ila tarehe 16 ndio mapumziko!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani, msinitanie nikalala? Tutatafutana kibarua kikiota nyasi.
Santa ! Shem , nakutakie skukuu adhimu aidha yenye masheheresho tele na chungunzima.
Note : soon after this holidays passed over , our certain agenda will b at all notice board.
Ha ha haaaaaaaa. Eid ya govern. ni j5. Ndo kuna ka holiday apo. Kesho wengine wanaswali Eid sawa na Saudia
hapana mama, sikukuu ni leo tarehe 15 ila tarehe 16 ndio mapumziko!
Mi niko kazin...nakasirika jamani
na mie pia nipo kazini mbona. Nyie hamuangalii hata tv sasa? Saudia leo eid, sisi kesho tukijaaliwa
hapana mama, sikukuu ni leo tarehe 15 ila tarehe 16 ndio mapumziko!
asubuhi kabla sijatoka...nimeangalia nikawa naona wanaswali na baadhi
ya misikiti pia..hapo ikawa inanichanganya zaid