Idd Ninga: Je, wajua kambi ya wakimbizi na Kipoland iliyokuwa Tengeru?

Idd Ninga: Je, wajua kambi ya wakimbizi na Kipoland iliyokuwa Tengeru?

Tukishajua hili inatusaidia nini katika mahangaiko yetu ya kutafuta riziki?
 
Kuna wengine walifariki walizikwa bongo
Hat ukienda makaburi ya kinondoni pale
Ukingia utakutana na taarifa zao kwenye bongo
Lao

Ova
Pale upanga east pembeni ya barabara kuna makaburi ya kipekee sana sijui kama na yenyewe yanawahusu hao
 
... miaka 8 umri wa mtu bro! Ni wangapi walitamani kuipata stori yote lakini wameondoka bila kuipata; ndani ya miaka 8 tumepoteza wapendwa wengi mno. Utarudi baada ya miaka mingapi kaka?
... miaka 8 umri wa mtu bro! Ni wangapi walitamani kuipata stori yote lakini wameondoka bila kuipata; ndani ya miaka 8 tumepoteza wapendwa wengi mno. Utarudi baada ya miaka mingapi kaka?
Mtoa mada kazingua sana...enzi hizo analeta hii story nilikua bado mwanafunzi ila bado hajakamilisha mpaka leo.
 
na ujanja wooote ule kumbe tuliyahifadhi yale majinga??? sasa yanatutupia sisi msala??
 
Back
Top Bottom