Idea ni nyingi za biashara,jf ina mchango pia kutupa akili kwa mfano tazama idea yangu uipe marks

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ukiwa makini na jf utapata mawazo mengi ya vitu vya kufanya.kwa mfano mimi nataka nifungue mradi niuze vitu vya kula ambavyo vina rangi nyeupe pekee..

Nazi
Mayai
Maziwa
Karanga
Maji
Maharage meupe
Viazi
Ndizi
Pop corn
Mahindi
Mkate
Unga
Vitunguu swaumu
Pia naweza kuweka t shirt nyeupe
Raba nyeupe
Taulo nyeupe
na duka hilo nitaliita WEUPE
KWANINI NI DEAL NA RANGI NYEUPE?
rangi nyeupe ndo msingi wa rangi zote ila ndo uhai tazama hata mbegu tunazotoa wanaume zinakuwa na rangi nyeupe.kama kuna bidhaa nyingine ya rangi nyeupe naomba ipendekeze niiweke.haya yote hata kama ni kwa akili zangu ila ni mawazo ya ubunifu yanayotoka kwa vichwa vya Jf.
 
Hapo Lindi nenda Kwa Mzee Multaza Ana Kijana wake anaitwa Mohammed uongee nae huwa anakuja DSM Mara kwa Mara .

Muhammed ni Kijana mpambanaji muombe urafiki then lile wazo lako la biashara ulilokuwa unalifikiria utaliboresha

Maana ikiwa wewe upo employed means kuna mambo utabidi ujifunze

Then anachukuaga na tenda mbali mbali za maji n.k

Ubuyu
 
Katika elimu ya Rangi nyeupe sio rangi mkuu. Nyeupe maana yake ni kuwa umeondoa rangi zote ndo inabaki white but black ndo imebeba rangi zote. Ulishaona rainbow ina rangi nyeupe?
 
no..lindi sitafanya biashara asilani...kwa sasa akili iko masasi ikumbukwe niliwahi kujiuliza kama inawezekana kufanya business dar asimamie wife material..ila umbali wa dar ikaonekana ni changamoto so kwa masasi kuwa na mradi na kuishi poa...lindi MONDAY-FRIDAY noon..then friday -monday morning KAZINI..

MASASI KWANINI?

KARIBU NA NDANDA MAHALI NAPOPAPENDA SANA HALI YA HEWA
PIA MZUNGUKO UNARUHUSU..UWEPO WAKO UNAWEZA KUFANYA UMACHINGA PIA

PIA NAKUWA NJE KIDOGO YA LINDI MAZOEA YANAPUNGUA JAPO KWA 3 DAYS

PUA PAZURI BIDHAA NI NYINGI BEI RAFIKI

NIMEMISS BARA SIO KILA SIKU PWANI
 
Katika elimu ya Rangi nyeupe sio rangi mkuu. Nyeupe maana yake ni kuwa umeondoa rangi zote ndo inabaki white but black ndo imebeba rangi zote. Ulishaona rainbow ina rangi nyeupe?
 
Attachments

  • images.png
    images.png
    21.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom