ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mm ninao mhogo mmoja mkubwa mnoMimi nitafungua duka la MIHOGO.
Watu wote wenye MIHOGO MIKUBWA naombeni mniletee.
Nimeweka oda kabisa, nalangua MIHOGO MINENE.
Cc: Lamomy Mbaga Jr Poor Brain dronedrake Kapeace Demi mshamba_hachekwi Extrovert Mzee wa kupambania cocastic
NdioKwahyo mwanangu mpka mbegu unatoa nyeupe peeee🤒
UbuyuUkiwa makini na jf utapata mawazo mengi ya vitu vya kufanya.kwa mfano mimi nataka nifungue mradi niuze vitu vya kula ambavyo vina rangi nyeupe pekee..
Nazi
Mayai
Maziwa
Karanga
Maji
Maharage meupe
Viazi
Ndizi
Pop corn
Mahindi
Mkate
Unga
Vitunguu swaumu
Pia naweza kuweka t shirt nyeupe
Raba nyeupe
Taulo nyeupe
na duka hilo nitaliita WEUPE
KWANINI NI DEAL NA RANGI NYEUPE?
rangi nyeupe ndo msingi wa rangi zote ila ndo uhai tazama hata mbegu tunazotoa wanaume zinakuwa na rangi nyeupe.kama kuna bidhaa nyingine ya rangi nyeupe naomba ipendekeze niiweke.haya yote hata kama ni kwa akili zangu ila ni mawazo ya ubunifu yanayotoka kwa vichwa vya Jf.
Katika elimu ya Rangi nyeupe sio rangi mkuu. Nyeupe maana yake ni kuwa umeondoa rangi zote ndo inabaki white but black ndo imebeba rangi zote. Ulishaona rainbow ina rangi nyeupe?Ukiwa makini na jf utapata mawazo mengi ya vitu vya kufanya.kwa mfano mimi nataka nifungue mradi niuze vitu vya kula ambavyo vina rangi nyeupe pekee..
Nazi
Mayai
Maziwa
Karanga
Maji
Maharage meupe
Viazi
Ndizi
Pop corn
Mahindi
Mkate
Unga
Vitunguu swaumu
Pia naweza kuweka t shirt nyeupe
Raba nyeupe
Taulo nyeupe
na duka hilo nitaliita WEUPE
KWANINI NI DEAL NA RANGI NYEUPE?
rangi nyeupe ndo msingi wa rangi zote ila ndo uhai tazama hata mbegu tunazotoa wanaume zinakuwa na rangi nyeupe.kama kuna bidhaa nyingine ya rangi nyeupe naomba ipendekeze niiweke.haya yote hata kama ni kwa akili zangu ila ni mawazo ya ubunifu yanayotoka kwa vichwa vya Jf.
no..lindi sitafanya biashara asilani...kwa sasa akili iko masasi ikumbukwe niliwahi kujiuliza kama inawezekana kufanya business dar asimamie wife material..ila umbali wa dar ikaonekana ni changamoto so kwa masasi kuwa na mradi na kuishi poa...lindi MONDAY-FRIDAY noon..then friday -monday morning KAZINI..Hapo Lindi nenda Kwa Mzee Multaza Ana Kijana wake anaitwa Mohammed uongee nae huwa anakuja DSM Mara kwa Mara .
Muhammed ni Kijana mpambanaji muombe urafiki then lile wazo lako la biashara ulilokuwa unalifikiria utaliboresha
Maana ikiwa wewe upo employed means kuna mambo utabidi ujifunze
Then anachukuaga na tenda mbali mbali za maji n.k
ndege JOHN
Naliomba hilo hogo daddy nilibugie hadi mtaji ukateMm ninao mhogo mmoja mkubwa mno
NipigieNaliomba hilo hogo daddy nilibugie hadi mtaji ukate
Katika elimu ya Rangi nyeupe sio rangi mkuu. Nyeupe maana yake ni kuwa umeondoa rangi zote ndo inabaki white but black ndo imebeba rangi zote. Ulishaona rainbow ina rangi nyeupe?