Idea nini nini? Mkanganyiko wake

Idea nini nini? Mkanganyiko wake

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Watu wengi tumekuwa tunajiuliza kwamba Idea au wazo ni kitu gani? na kwa nini Idea?

-IDEA ni kitu unacho kiamini na sio kitu unacho kifikiria au kukiwaza.

KUAMINI kuna nguvu sana kuliko kufikiria.

KUAMINI kuna nguvu sana kuliko kufikiria kwa nini?

Mpaka sasa usha fikiria vingapi? ni vingi sana tena mno lakini hujawahi kuviamini.
- Usha fikiria kulima kila aina ya mazao.
- Usha fikiria kufuga kila aina ya mfugo.
- Usha fikiria kufungia Duka kubwa la ngup au Magari.
- Usha fikiria kuanzisha mgodi wa Dhahabu.
- Usha fikiria kuanzisha kiwanda
- Usha fikiria vitu vingi sana.

ILA KWA SABABU HUJAAMINI ndo maana hadi leo unafikiria.

Hujafanyia kazi unavyo fikiria kwa sababu Sio UNAVYO VIAMINI.

Wengi wetu tumekuwa tunafikiria mawazo au Idea zetu ila hatuziamini.

NGUVU YA KUAMINI

Achana na nguvu ya kuamini. ukisha amini umeamini na hakuna tena anaye weza kubadilisha iman yako labda MUNGU PEKEE.

MFANO:
Mke wako wewe kuna ambaye anamuona ni mbaya sana tena mno na hata bure hataki. Ila wewe do unaye muamini na usha amini na hakuna tena wakubadilisha imani labda MUNGU pekee.

Ndo maana akishikwa TAKO mbele yako unaweza ua mtu. Hio ni kwa sababu pale ndo imani yako ilipo.

Hivyo unacho kiamini ni MBEGU.

Na MBEGU ina hatua zake.

MBEGU then MUDA then UVUNAJI.

Je unaamini wazo lako? au unafikiria wazo lako?
 
Sawa
 
Hapa umenigusa sana Kiongozi,ni kweli kabisa ,
idea ni kitu UNACHOKIAMINI,!
Unachokiamini siku zote utakipenda!
Ukikipenda utakifanya/ kutekeleza bila kuchoka , hutakata tamaa kwakuwa unaamini unachokifanya!
Mara nyingi watu huishia njiani kwakufanya vitu wasivyo vipenda au kuviamini!
Hii husababishwa na copying and pasting bila kuwa na passion/ shauku na hilo wazo/idea.
Pia husababishwa na shinikizo kutoka kwa watu wengine ambao wanaamini ktk wazo ambalo wewe huna passion / shauku nalo na ukalifanya, tegemea failure!

Lazima tuamini mawazo yetu hata kama wengine hawaamini! Ushauri ni mzuri kupata lakini maamuzi ni yako mwenyewe!

Kunamsemo usemao "if you're not doing what you love, you're wasting your time"
Yaani "kama hufanyi kile unachokipenda, unapoteza muda wako".
 
Asante bro
 
Back
Top Bottom