young_traveller
Member
- Aug 23, 2017
- 8
- 1
Habari wana jf.
Natumai mu wazima na mnaendelea vyema katika ujenzi wa taifa.Binafsi ninafatilia san thread znazofanyika na kwa mtzamao wangu kati ya yote ayo idea ya biashara ndo imekuwa kikwazo kikubwa sana. Kutokana na elimu yangu nlionayo na bado ni mwanafunzi wa chuo katika ngazi za uchumi nmeweza kujadili na kutengezea idea bora ya biashara ya kudumu ila ususani katika jiji la MWANZA (sababu ndo natokea uku).
Kwakuwa mimi bad mwananfunzi na sjapata pesa ya mtaj wa izi biashara kama kuna mtu atavutiwa tushee mawazo yangu ili kuwekeza katika biasharaa yangu anaweza kunicheki 0688369691. Serious issue only