Idea ya biashara mkoa wa mwanza

Idea ya biashara mkoa wa mwanza

Joined
Aug 23, 2017
Posts
8
Reaction score
1
Habari wana jf.

Natumai mu wazima na mnaendelea vyema katika ujenzi wa taifa.Binafsi ninafatilia san thread znazofanyika na kwa mtzamao wangu kati ya yote ayo idea ya biashara ndo imekuwa kikwazo kikubwa sana. Kutokana na elimu yangu nlionayo na bado ni mwanafunzi wa chuo katika ngazi za uchumi nmeweza kujadili na kutengezea idea bora ya biashara ya kudumu ila ususani katika jiji la MWANZA (sababu ndo natokea uku).
Kwakuwa mimi bad mwananfunzi na sjapata pesa ya mtaj wa izi biashara kama kuna mtu atavutiwa tushee mawazo yangu ili kuwekeza katika biasharaa yangu anaweza kunicheki 0688369691. Serious issue only
 
mtaji wa hizo idea za biashara ni kiasi gani cha chini kabisa ili kuweza kuanza
 
Ungesema mtaji nikuanzia Shingapi nadhani ungeeleweka vizuri ili nikikutafuta niwe nauhakika mtaji unakidhi kufanyia kazi
 
Habari wana jf.

Natumai mu wazima na mnaendelea vyema katika ujenzi wa taifa.Binafsi ninafatilia san thread znazofanyika na kwa mtzamao wangu kati ya yote ayo idea ya biashara ndo imekuwa kikwazo kikubwa sana. Kutokana na elimu yangu nlionayo na bado ni mwanafunzi wa chuo katika ngazi za uchumi nmeweza kujadili na kutengezea idea bora ya biashara ya kudumu ila ususani katika jiji la MWANZA (sababu ndo natokea uku).
Kwakuwa mimi bad mwananfunzi na sjapata pesa ya mtaj wa izi biashara kama kuna mtu atavutiwa tushee mawazo yangu ili kuwekeza katika biasharaa yangu anaweza kunicheki 0688369691. Serious issue only
Sahihisha "ayo","uku","izi" na weka maneno "hayo", "huku", " hizi"
 
Hakuna mtu atainvest kwenye idea zako labda kama ni Ndugu yako au rafiki wa karibu, so pambana achana na maswala ya kutegemea watu, pia kama upo chuo unaweza chukua ata mzigo wa jeans, calculator, au hata pazia ukaanza kuuza taratibu. Watu wana idea zao nyingii na hawazitekelezi sababu ya shortage of resources. Yani ukitegemea mtu aje kuinvest kwenye idea zako miaka 5 ijayo bado utakua unasubiria.
 
Back
Top Bottom