Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Niko na idea kama unahitaji kufanya biashara ya kuuza dagaa toka bukoba. Maana ndoo /debe moja 10k so ukiwa na 100k unapata ndoo/debe 10. Kwa bongo ndoo moja huwezi kosa 30k kiwango cha chini hicho
Usafiri ndoo 10 ni gundia moja kama sikosei nauli toka Bukoba mpaka Dar haiwezi zidi 25k/30 hapa zikiwa nying gunia unapakiza kwa gari ya mizigo unaweza punguziwa bei.
..... hilo gunia moja iko na ndoo 10 zidisha mara 30k,unapata shingapi 300k. Toa nauli 30k(usafirishaji). Unabaki na 270k acha tufanye 250k faida 150k.
Idea yangu hiyo hapo soko lipo .napenda kuwasilisha