Idea ya biashara

Idea ya biashara

kutafuta soko sio kwenda bugurun SOKONI kupanga hizo dagaa. Unatakiwa uende uko sokoni kuangalia soko likoje la dagaa unaulizia wauza dagaa wenzako wachuuzi au walanguzi. Wanaouza au wanaonunua. Hao watakupa data kamili biashara hiyo unayotaka kufanya inatoka au ni vipi.. na unawambia wewe unahitaji kufanya biashara hiyo ila unatak uwe unawaletea na kuwauzia jumla. Lakini ushapata data ya kuwa wao wananua shingapi kwa jumla kwahiyo. Mfano wananunua debe kwa 12k we unabidi uuze 11k ili upate wateja ndo ubunifu katika biashara. Na ukiwa unatafuta soko unabidi uzunguke sehemu mbali mbali kwa wauza hiyo bidhaa ambayo unahitaji kufanya. Iko hivo
Yaani unavyozungumza unachukulia kirahisi rahisi hivyo!!hizi ni biashara za mtandaoni ndugu!!Hakuna watu wabinafsi kwenye biashara kama wabongo!!yaani mtu hakufahamu akupe details zote hizo kiu rahisi hivyo?!!
 
Tuanze na wewe usiseme wabongo wewe unaroho safi?
 
Niko na idea kama unahitaji kufanya biashara ya kuuza dagaa toka bukoba. Maana ndoo /debe moja 10k so ukiwa na 100k unapata ndoo/debe 10. Kwa bongo ndoo moja huwezi kosa 30k kiwango cha chini hicho

Usafiri ndoo 10 ni gundia moja kama sikosei nauli toka Bukoba mpaka Dar haiwezi zidi 25k/30 hapa zikiwa nying gunia unapakiza kwa gari ya mizigo unaweza punguziwa bei.

..... hilo gunia moja iko na ndoo 10 zidisha mara 30k,unapata shingapi 300k. Toa nauli 30k(usafirishaji). Unabaki na 270k acha tufanye 250k faida 150k.

Idea yangu hiyo hapo soko lipo .napenda kuwasilishaView attachment 2525957
ndoo ya dagaa ina kilo ngapi?
 
Kuna ndugu zangu
tatizo wahaya mkoa wote wa kagera uita bukoba vichekesho mtu yuko mleba au karagwe au mtukula au kiaka ukimuuli heti niko bukoba sia ajabu huyo muuza dagaa yuko visiwani huko[emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa mtazamo wako SOKO unaliangaliaje?/ Unaonaje? /Unalitafutaje ? kuanza biashara sio vyepesi na rahisi kwa mtazamo wangu,maana ukileta bidhaa sokoni lazima utakutana na wateja wanaoenda kununua bidhaa sehemu walizozizoea....Sasa nieleweshe SOKO unalitafutaje?
masoko ya dagaa kwa dar ilala kariakoo mabibo au mtwala lindi masasi lazima vigezo vizingatiwe vinginevio utaishia kwa wajanja[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
wanakeraaaa hatofautan na wale wa kutuma tangazo halafu bei , locatio n.k njoo inbox wakat si wengine tunasoma tangazo tujiridhishe kwanz
Mbona kichwa cha habari kinajieleza kuwa ni idea, ww kama unataka kufanya tafta konnection ushapewa idea.
 
kutafuta soko sio kwenda bugurun SOKONI kupanga hizo dagaa. Unatakiwa uende uko sokoni kuangalia soko likoje la dagaa unaulizia wauza dagaa wenzako wachuuzi au walanguzi. Wanaouza au wanaonunua. Hao watakupa data kamili biashara hiyo unayotaka kufanya inatoka au ni vipi.. na unawambia wewe unahitaji kufanya biashara hiyo ila unatak uwe unawaletea na kuwauzia jumla. Lakini ushapata data ya kuwa wao wananua shingapi kwa jumla kwahiyo. Mfano wananunua debe kwa 12k we unabidi uuze 11k ili upate wateja ndo ubunifu katika biashara. Na ukiwa unatafuta soko unabidi uzunguke sehemu mbali mbali kwa wauza hiyo bidhaa ambayo unahitaji kufanya. Iko hivo
Kikubwa zaidi kuliko vyote from experience!!, mnauzianaje, sokoni wamekuwa na utaratibu waliojiwekea manakopeshana kwa Mali kauli hapo sasa ndo utajua mbivu na mbichi za hao jamaa, N.B: bila kukopesgwa hutoboi coz wamezoeshwa hivyo!! ,
 
Ndio maana sijasema wote!!tupo wachache sana!!yaani yalinikuta DRC hadi wakongo ndio wakawa watetezi wangu dhidi ya Watz wenzangu!!!
Hii issue ya DRC huwa hauachi kuisimulia, inaonekana kilikukuta kitu ambacho ni ngumu kusahau kibiashara, eeh?
 
Hii issue ya DRC huwa hauachi kuisimulia, inaonekana kilikukuta kitu ambacho ni ngumu kusahau kibiashara, eeh?
Wala sio kibaya sana ila niliumia tu kuona watanzania wenzangu wananifanyia roho mbaya, kisa ushindani wa biashara tu,wanaenda kwa wanajeshi kunichomea na wale wanajeshi ndio wanakuja niambia!!
 
Hapa me ndo naona shida Maranyingi ndo wengi wetu inatukuta!!, je kweli kuna demand kama tunavyohadisiwa nyuma ya keyboard!!, tufanye research kuliko kukurupuka baada ya kuhadisiwa!!
Wateja wa dagaa wapo sana ujue dagaa wanaliwa kuliko nyama, samaki na kuku. Mbadala wa dagaa ni maharagwe ambayo hukinaisha walaji.
Ila ukitaka kuuza dagaa kauze kwa maeneo ya watu wa chini na kati, Mbagala kule wanakula sana na kuna jamaa yangu alidisco chuo anauza huu mwaka na nusu hivi amepata wateja wa uhakika kafungua genge jingine la kuuza dagaa tu wa Zanzibar na wa Bukoba.

Kitu nachoona kwa comments nyingi ni watu kuogopa kuanza wanataka wateja wawepo kwanza ndio waanze biashara, kwani mnataka kugundua dawa ya UKIMWI? Wateja hushawishiwa, wanakuwepo ila sio kama samaki kwamba ukiweka chambo tu hapohapo wanakuja. Tafuta 1M, tengeneza meza, pata location sehemu ya watu wengi kama sokoni au stendi na unaweza lipishwa hilo eneo, kuwa ngumu maana ukianza kupata faida wanaleta figisu. Kaa miezi mitatu uone kama wateja hamna.

Dagaa zinalipa kuliko biashara za utanashati nyingi sijui nguo ila mwisho wa siku bills unalipa wewe.
je parle Prakatatumba abaabaabaa
 
Back
Top Bottom