Idea ya biashara

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Niko na idea kama unahitaji kufanya biashara ya kuuza dagaa toka bukoba. Maana ndoo /debe moja 10k so ukiwa na 100k unapata ndoo/debe 10. Kwa bongo ndoo moja huwezi kosa 30k kiwango cha chini hicho

Usafiri ndoo 10 ni gundia moja kama sikosei nauli toka Bukoba mpaka Dar haiwezi zidi 25k/30 hapa zikiwa nying gunia unapakiza kwa gari ya mizigo unaweza punguziwa bei.

..... hilo gunia moja iko na ndoo 10 zidisha mara 30k,unapata shingapi 300k. Toa nauli 30k(usafirishaji). Unabaki na 270k acha tufanye 250k faida 150k.

Idea yangu hiyo hapo soko lipo .napenda kuwasilisha
 
Nahitaji gunia 2 tafadhali
 
Unabidi utafute soko kwanza, kutafuta so sio kwenda kariakoo kuangalia soko
Kwa mtazamo wako SOKO unaliangaliaje?/ Unaonaje? /Unalitafutaje ? kuanza biashara sio vyepesi na rahisi kwa mtazamo wangu,maana ukileta bidhaa sokoni lazima utakutana na wateja wanaoenda kununua bidhaa sehemu walizozizoea....Sasa nieleweshe SOKO unalitafutaje?
 
kutafuta soko sio kwenda bugurun SOKONI kupanga hizo dagaa. Unatakiwa uende uko sokoni kuangalia soko likoje la dagaa unaulizia wauza dagaa wenzako wachuuzi au walanguzi. Wanaouza au wanaonunua. Hao watakupa data kamili biashara hiyo unayotaka kufanya inatoka au ni vipi.. na unawambia wewe unahitaji kufanya biashara hiyo ila unatak uwe unawaletea na kuwauzia jumla. Lakini ushapata data ya kuwa wao wananua shingapi kwa jumla kwahiyo. Mfano wananunua debe kwa 12k we unabidi uuze 11k ili upate wateja ndo ubunifu katika biashara. Na ukiwa unatafuta soko unabidi uzunguke sehemu mbali mbali kwa wauza hiyo bidhaa ambayo unahitaji kufanya. Iko hivo
 
Dagaa soko zuri Kanda za juu kusini🏃🏃
 
Habari nimevutiwa na hii biashara ya dagaa ..wewe huko wapi??
 
Msamehe bure huyo ni mwanafunzi aliyemaliza form four mwaka jana ana stress za matokeo
wanakeraaaa hatofautan na wale wa kutuma tangazo halafu bei , locatio n.k njoo inbox wakat si wengine tunasoma tangazo tujiridhishe kwanz
 
Shukrani sana nimekuelewa
 
Namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…