Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 376
- 850
Wazo langu ni la Audio. Nimeandaa beat mwenyewe na lyrics za wimbo wa Tangazo husika so it's not AI based. It's my idea from the scratch.Unaweza kuniambia baadhi ya vitu? Mfano watu waliotumika ni halisi au katuni au AI generated? Afisa masoko ninamfaham na ninaweza kumwambia lakini kazi za mabango natangazaga humu hauombi, huenda ukapata koneksheni ya kuanzia.
Sasa hao Yas, Crdb na Airtel wanaotumia kampuni flani hiv kwenye ishu hizi. So sijui kama la kwako watachukua mana wahusika sio wao moja kwa moja wamezoa tender
Its business, idea hiyo ni ya kipekee kias gani?. Nenda kaombe appointment na De×× ukikagua vizur linked in yupo kuleWazo langu ni la Audio. Nimeandaa beat mwenyewe na lyrics za wimbo wa Tangazo husika so it's not AI based. It's my idea from the scratch.