Idea yako ndio utajiri wako! Tuwasiliane kama una idea makini ya biashara

Hawa watu meshindwa kuwaelewa mewatumia idea yangu kupitia email yangu ila baadae nilipotaka kulog in kwenye email yangu nilitaarifiwa kwamba gmail wamegundua kuna shughuli zinaendelea kwenye email yangu zisizo za kawaida na mpaka sasa meshindwa kulog in kwenye email yangu. Hawa watu sidhan kama ni wema
 


Wee kama huna idea ya business tuliza mshono! Waache wenzako waje!
 

Aiseeee.......usitake kutumia JF kama kokoro la kutupia kila kitu!
 

Pole sana.....kuna sehemu ulikosea namna ya kulinda idea yako! Yawezekana ulilibwaga pwaaaaaaa.......na ndo wakatumia huo mwaya kufanya yao! Anyway life goes on.....keep fighting back!
 

Jamani, is this not very much clear????

Hatuhusiki kulinda idea yako....idea yako unalinda wewe mwenyewe.......how? Usituulize sisi.......ww ndo wajua mwenyewe!

Unachopaswa kufanya ni kutushawishi kuwa idea yako ipo makini......how?? Pia usituulize mimi....jiulize wewe mwenyewe!

We have cash.....you have an idea!! Convince us tutoe cash yetu kwa ajili ya ku finance dea yako.........sio sisi tu kuconvince tutoe cash yetu kwa ajili ya idea yako.........you got it guys??????

Baada ya kukubaliana sote.......tunafuata taratibu zote za kisheria ili kulinda maslahi yetu sote.......yetu sisi kama wenye hela na yako wewe kama mwenye idea, na blah blah zingine tutakazoafikiana!!!!!
 
nina idea itakayogharimu milioni 100. mtanikopesha?
 
Mr. Mangi..= naam nina idea NZURI sana lkn inahusu kilimo&nina SHAMBA la EKARI 15,30 tunaweza tukawasiliana kwa mazungumzo zaidi...napatikana ktk simu #. +255 657 740 797 TMK DSM.
 
The Dealer mimi nina idea lakini lazima tukutane na kuwekeana mkataba wa kutoitumia au kuiuza kwingine kwa kuchangia gharama za kisheria baina yetu; Ukiwa tayari nifahamishe
 
The Dealer mimi nina idea lakini lazima tukutane na kuwekeana mkataba wa kutoitumia au kuiuza kwingine kwa kuchangia gharama za kisheria baina yetu; Ukiwa tayari nifahamishe

Mkuu unapoteza muda....hamna kitu hapo.....tafuta close people wenye the trust na zingine kusanya mwenyewe jibane ufanye hiyo idea yako...achana na huyo mwe.hu mwenye kutafuta "idea" JF ki.----- namna hiyo...

I wish ningepata muda nimuulize maswali technical,wala hajui vizuri anachokifanya
 

Pole sana, hii inatokea sana kwa matapeli wa idea za watu lakini kuna company nzuri pia kama bright ideas ya UK hao unawapa idea wanaangalia kama haijatoka bado duniani, wanakuambia utoe let's say £450 inategemea na idea yako halafu ikipita una shauriwa uwe na lawyer mnasaini mikataba na wanaifanyia kazi, lakini hapa naona hajajieleza vizuri
 

Hebu Nipe maelekezo hapa uk wapi pa kupeleka ideas?
 
Hebu Nipe maelekezo hapa uk wapi pa kupeleka ideas?

Zipo kampuni nyingi ambazo unaweza kupeleka idea yako lakini watakula hela, ila kama una idea nzuri jaribu patent office (IPO) hao wataangalia kama idea yako ipo au haijawahi tengenezwa UK ukisajili itakuwa yako kwa miaka 20, lakini itakuwa public kwa muda wa miezi 18 watu kuiona baada ya kuisajili, hapo utashika Patent attorney (awe amesajiliwa) na kama idea yako itaibiwa baada ya kusajili unaweza kuipeleka kesi mahakamani hapo mahakama itaamua either kupata haki yako au la.
Hii ni kwa UK tu
 
HI. Mimi nina partner wangu ana kiwanda kikubwa mbeya cha kusaga nafaka mbeya. Yeye ana biashara nyingi ameshindwa kukiendesha. kama unataka ntafute nitakuonyesha picha na tutaongea. idea yangu ni kuanza kukiendesha na kutafuta soko la bidhaa tu. wasiliana kwa namba +255 715 514 644
 

Sante nimepata pa kuanzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…