Mwaka 2009 nikiwa nilikuwa na idea's yangu, ya ki technology, wakati huo nipo nchini Ireland, idea hio matumaini yangu kama ningefanikiwa ningekuwa bilinear, idea ile niliwasiliana na manufacturer in China wanitengezee one sample kwanza, Ikisha tutafanya contract nikifanikiwa kwa ajili ya kuingiza katika soko la ulaya,
wakaniambia ita ni cost dola 2000, nikawambia sawa, baadaye wakanitumia email kuwa wanataka dola 32,000 Nikaona hawa wanataka mchezo mchafu, na ile idea walinambia ni new technology so lazima waifainyie kazi, mimi nikawambia sawa wanifanyie lakini sikuwa na pesa za kutosha, baada ya muda wale jamaa manufacturer kila nikipiga simu hawapokei na wakipokea wanakata,nikasema nishatiwa changa la macho.
My goal ilikuwa nipeleke katika competition katika mambo ya wataalam, na nilikuwa naa mini inaweza kupita. Kwani ilikuwa ni new idea ya ki technology.