Idea zipo mtaji hakuna hii inauma

Je, umeshaangalia ni wapi pa kuziwekeza, unaweza kuwa na fedha mashamba ikawa ni ishu.
 
Mawazo kama haya ndiyo ninayo yataka, unaweza kuniambia laki tano inatosha vipi nikwa ninaishi mjini sina ata shamba
kwa hiyo idea yako ni mfu. maana hata shamba huna na huenda hata hujui wapi pa kulipata
 
kwa hiyo idea yako ni mfu. maana hata shamba huna na huenda hata hujui wapi pa kulipata
Hapana pakulipata napajua ni 600k ekari moja na nusu hivi sijashika sana mkoa wa pwani tatizo pesa idea unakuwa mfu endapo hakuna pesa
 
Anayehitaj anichek PM nimpe maelekezo ya kufanya biashara ndogo ya mtaji wa 30000/= ila return yke kwa mwez ni zaid ya 500000/= anafanyia kwenye location yake tu. Karibuni.
 
Hawa ndio wanazaniaga mitaji inaanziaga milioni na kuendelea maisha ni msoto mkali wapo watu wanatembeza koni kwa mitaji ya elfu hamsini
 
Asante je kwa watu watano ni sawa na M 2.5 inaweza tosha kwenye kilimo
Kwann umewaza kuanza na kilimo?
Nakushauri anza na mradi mwingine ukusanye mtaji wa kutosha na elimu then ndio uingie kwenye kilimo,

Kilimo kina faida nzuri lkn pia kinahitaji sana hela.
 
Kwann umewaza kuanza na kilimo?
Nakushauri anza na mradi mwingine ukusanye mtaji wa kutosha na elimu then ndio uingie kwenye kilimo,

Kilimo kina faida nzuri lkn pia kinahitaji sana hela.
[emoji122] [emoji122]
 
Mkuu laki tano n hela inatosha kabisa kuendeshea kilimo n kikakulipa.fanya kudhubutu katika kutekeleza mawazo yako ,achana na vitu vya kujiunga kwenye kundi l watu ndo mfanye kazi itakupa shida hasa katika usimamizi.mfano mm nimelima hect 2.5 za ulezi na imenighalim 400000 tu katk maandalizi,upandaji,na palizi hapo bado cost kwa ajiri ya harvest tu.and pia kilimo inatgemea n wap unataka kufanyia
 
Hello.. Wewe ulezi umelima wapi.. Kuna watu wanatafuta ulezi mwekundu.. Kwahiyo kama unao nitafute nikuunganishe.. Kilo 1300/=
 
Anayehitaj anichek PM nimpe maelekezo ya kufanya biashara ndogo ya mtaji wa 30000/= ila return yke kwa mwez ni zaid ya 500000/= anafanyia kwenye location yake tu. Karibuni.
Toa hiyo elimu humu jamvini mkuu kama hutojali.
Wanufaishe watanzania wenzio
 
Anayehitaj anichek PM nimpe maelekezo ya kufanya biashara ndogo ya mtaji wa 30000/= ila return yke kwa mwez ni zaid ya 500000/= anafanyia kwenye location yake tu. Karibuni.
Jamaa chopa moting amenipa madini aina ya fedha, haya madini kila nikiya minimize naona pesa tu ngoja kwanza nikayachimbe nitawaretea mrejesho wakuu [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Alicho nacho kichwani ndio idea yenyewe mkuu. Bila idea pia huwezi kufanya kitu kikatoa matunda mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…