Wakuu kweli mtaji ni serious problem world wide.
Wadau hivi itakuwaje endapo vijana kama kumi mukaungana na kuamua kujitoa sadaka( risk taking) kwa pamoja na kuamua kila mmoja atoe 500,000/= ambapo itakuwa jumla 5,000,000/= then mujadili kuikeza kwenye kilimo kwa mazao yenye tija kwa sasa, siinaweza ikatosha kama mtaji, ikiwezekana mukipata profit munajipanua mpaka munamili mashamba ata sita ya kilimo kikubwa cha kisasa, ikiwezekana muendelee muwe hata kampuni au mumiliki compuni zenu.
Vijana serious kama hawa sijui nitawapata wapi watu wangu wa karibu wote viazi tu
Naandika nikiwa naangalia interview ya mtu mmoja hivi, ambaye alikuwa wa muhimu sana humu jamvini kutoa ushauri.[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]