Idea zipo mtaji hakuna hii inauma

Idea zipo mtaji hakuna hii inauma

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,635
Reaction score
5,012
Wakuu kweli mtaji ni serious problem world wide.

Wadau hivi itakuwaje endapo vijana kama kumi mukaungana na kuamua kujitoa sadaka( risk taking) kwa pamoja na kuamua kila mmoja atoe 500,000/= ambapo itakuwa jumla 5,000,000/= then mujadili kuikeza kwenye kilimo kwa mazao yenye tija kwa sasa, siinaweza ikatosha kama mtaji, ikiwezekana mukipata profit munajipanua mpaka munamili mashamba ata sita ya kilimo kikubwa cha kisasa, ikiwezekana muendelee muwe hata kampuni au mumiliki compuni zenu.

Vijana serious kama hawa sijui nitawapata wapi watu wangu wa karibu wote viazi tu

Naandika nikiwa naangalia interview ya mtu mmoja hivi, ambaye alikuwa wa muhimu sana humu jamvini kutoa ushauri.[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Hilo ndio tatizo la vijana wengi kuwa viazi yaan utamkuta boy anamiliki simu bei kali tu lakin anakuomba buku ya vocha ila upande mwengine vijana wengi wanagight ila kinavhopatikana kuenda kununua pqmba na ku spend na mtoto mzuuuuliii..
 
Tafuta M5 uje nikuonyesha Chakufanya.

NB. Uwe serious.
 
Wewe ndie haujaamua kufanya hicho kilimo unachokisema.badala ya kutafuta vijana10 wakajichanga 500000 kila mmoja,kwanini usichukue hiyo 500000 utakayochanga na wenzako ukaiwekeza kwenye kilimo wewe kama wewe sababu hii hela inatosha sana kwa mtaji wa kuanzia! Changamka kijana acha kukaa kuwaza nyanyuka ukafanye kwa vitendo unachowaza!
 
Unajadili Kilimo.ukwa wapi mkuu?

No one will trust your Idea Except you.

Yaani ukiona mtu ana saport wazo lako basi ogopa sana.

Kwa Idea yako ya Kilimo unapaswa kuanza na kile ulicho nacho mkononi mwako.

MUSA akiwa na wana wa Isaraeli aliulizwa na Mungu una nini MUSA?

MUSA akajibu nina fimbo, hivyo MUSA alikuwa na fimbo tu.

Sasa wewe una nini? usisema una Idea..Idea hata wanayama wana Idea achilia mbali binadamu.

Anza na kile ulicho nacho mkononi mwako.

Time is now, ukisema usobili sijiu watu waje kuchanga utasubili sana.

Anza na watu watakufuata wewe, watakutafuta wewe
 
Mawazo kama haya ndiyo ninayo yataka, unaweza kuniambia laki tano inatosha vipi nikwa ninaishi mjini sina ata shamba
 
Unajadili Kilimo.ukwa wapi mkuu?

No one will trust your Idea Except you.

Yaani ukiona mtu ana saport wazo lako basi ogopa sana.

Kwa Idea yako ya Kilimo unapaswa kuanza na kile ulicho nacho mkononi mwako.

MUSA akiwa na wana wa Isaraeli aliulizwa na Mungu una nini MUSA?

MUSA akajibu nina fimbo, hivyo MUSA alikuwa na fimbo tu.

Sasa wewe una nini? usisema una Idea..Idea hata wanayama wana Idea achilia mbali binadamu.

Anza na kile ulicho nacho mkononi mwako.

Time is now, ukisema usobili sijiu watu waje kuchanga utasubili sana.

Anza na watu watakufuata wewe, watakutafuta wewe
Mawazo mazuri mkuu nashukuru kwa maelezo yako
 
Back
Top Bottom