kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Vp kuhusu kukatwa mkono , mbona husemi hapo mkuuit could be that he was killed by the jealous boyfriend....huyu jamaa hata kama tunamwombea mema, alikuwa anafanya ka ukora flani...sielewi vile jamaa alienda pekee yake kule roysambu bila hata protection...there was no communication to the family or to work members that he had gone there...then his car is found somewhere in a plot in Roysanmbu...a whole ICT manager anafanya nini roysambu kama si mpango wa kando...
Na kwanin mkono haupoHiyo haiwezekani, hizo ni spin tu wamemua na huyo binti ili kufunika mambo.
Boyfriend gani atamshika jamaa huyo Chris amtoe kwenye gari alipaki gari vizuri harafu akawaue hao wawili huko porini bila ya hao wawili kupiga hata kelele? Walim hijack hao wakapeleka huko gari na yeye wakaenda kumsurubisha na kumtupa waliko mtupa.
Acheni kupindisha mambo. Ukiona mtu anatetea jambo jua ameusika moja kwa moja.umalaya tu umempoza
Huyu jamaa anatatizo la unemployment stress kwa hiyo aki comment muelewe tu. Stress za unemployment huku akijaribu kumlinda mtu anaembania employment lazima kidogo zimluke. Hiyo inaitwa kichaa karogwa tena.siyo vyema mtu akija na differing opinion una threaten kumnyamanzisha ati because he is a tanzanian, haya ondokeni na mada zenu mpeleke blogs za kenya ili mpendezwe na opinions za members
Bloggers wa Uhuru mmeanza kusambaza propaganda. Kenge wauwaji wakubwa.
niliwaambia watanzania habari inaangaliwa mpaka chooni huku Kenya...internet fast sana....sasa wewe jifurahishe tu...Kama kazi unafanyia nyumbania during working days you are truly unemployed. Wewe huna tofauti na maid wa nyumbani. JF na tumia mobile phone. Umesema the all day umekuwa uko watch TV. Lol. House Maid.
una ufaham kuwa mkenya wa kawaida ana pesa zaidi na faida zaidi kuliko mtanzania wa kawaida...unemployed or not, Kenyans are way richer than uHuyu jamaa anatatizo la unemployment stress kwa hiyo aki comment muelewe tu. Stress za unemployment huku akijaribu kumlinda mtu anaembania employment lazima kidogo zimluke. Hiyo inaitwa kichaa karogwa tena.View attachment 555509
yes, kenyans are rich, si ndo unaona walishinda hata kesi ya post election violence ya kule ICC. bravo kenyauna ufaham kuwa mkenya wa kawaida ana pesa zaidi na faida zaidi kuliko mtanzania wa kawaida...unemployed or not, Kenyans are way richer than u
Kenya inaongoza East Africa kwa kulipa mishahara midogo wasomi wao japo wamesoma sana. Tulia nikuletee evidence wewe.una ufaham kuwa mkenya wa kawaida ana pesa zaidi na faida zaidi kuliko mtanzania wa kawaida...unemployed or not, Kenyans are way richer than u
Kenya inaongoza East Africa kwa kulipa mishahara midogo wasomi wao japo wamesoma sana. Tulia nikuletee evidence wewe.
Eti Kenyan are away richer than Tanzanian. Usitaki hii evidence niifanyie thread. Niliwambia I have a lot of information to do with Kenya sema huwa siweki. Sasa pata habari kamili.una ufaham kuwa mkenya wa kawaida ana pesa zaidi na faida zaidi kuliko mtanzania wa kawaida...unemployed or not, Kenyans are way richer than u
Hahahaaaa.....Dah! Sio kuwa nafurahiBut, kama hakuwa na security...?
And why Uhuru? Hata Raila camp may have had the motives to kill him.
Anyway....I dont know!
A cold Hearted Nyang'au...mna damu na mioyo baridi mno...how could you utter such a nosense and a stupid words...it could be that he was killed by the jealous boyfriend....huyu jamaa hata kama tunamwombea mema, alikuwa anafanya ka ukora flani...sielewi vile jamaa alienda pekee yake kule roysambu bila hata protection...there was no communication to the family or to work members that he had gone there...then his car is found somewhere in a plot in Roysanmbu...a whole ICT manager anafanya nini roysambu kama si mpango wa kando...
Acha utoto wakati wewe ni mtu mzima...jiheshimu..haya yanaweza kukutokea wewe au hata hawara yako..na wewe mwenyeweumalaya tu umempoza
ndo muache uhuni huyo chris alikuwa na mke na familia.alitoka wapi na huyo binti tena toka mchana walikuwa nae ni hawara yake kitambo.sasa hivi mnasema eti aliuwawa tu akaunganishwa.Acha utoto wakati wewe ni mtu mzima...jiheshimu..haya yanaweza kukutokea wewe au hata hawara yako..na wewe mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili yako wakati wote hufikiria ngono Affairs.ndo muache uhuni huyo chris alikuwa na mke na familia.alitoka wapi na huyo binti tena toka mchana walikuwa nae ni hawara yake kitambo.sasa hivi mnasema eti aliuwawa tu akaunganishwa.
Sasa malinda ndo nini wewe mshamba? Acha usangwenya unabishana na watu ambao wameshikilia kura,ambayo huna,kuhusu nchi yao? We vipi? Ntakuzaba kofi we falashtuka!Wewe jamaa ulisha ondolewa malinda jamani. Kaeni na Jubilee yenu.
Si vizur kujaji kabla... Wauaji wananjia nyingi za kuficha ushaidindo muache uhuni huyo chris alikuwa na mke na familia.alitoka wapi na huyo binti tena toka mchana walikuwa nae ni hawara yake kitambo.sasa hivi mnasema eti aliuwawa tu akaunganishwa.