IDF ilipata mwili wa kiongozi wa Hamas Mohammed Sinwar chini ya handaki!

Endeleeni tu na Taqiyyah zenu lakini Mohamed Sinwar sasa hivi yuko kuzimu anateseka!!!
Kutokana na dini ya muotaji chini ya mti labda hahaha, kutokana na dini ya Mungu kama kafa atakuwa mtu wa peponi.
 
Hivi Kuna anaeweza kuwazidi propaganda vilembwe wa mchongo wa kizazi Cha yakobo?
Oct 07,2023 Aljazeera ilikuwa na waandishi wake kushuhudia mauaji yaliyokuwa yanafanywa na Hamas.

Kwa hiyo Hamas na Aljazeera lao ni moja!!!
 
Kumbe hamasi ya Al Jazeera?
Aljazeera ni kituo cha television cha Qatar kinachounga mkono harakati za kigaidi dhidi ya Israel. Na baadhi ya waandishi wake wa habari ni members wa makundi ya kigaidi hapo Gaza
 
Hamas ni wepesi kutoa taarifa ya wameuawa wanawake na watoto ila magaidi wenzao wakiuawa hawatoi taarifa
 
mbona kobaz mpo kimya kwenye hili tukio la kuuawa Kwa ndugu yenu katika imani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…