Naona unajitoa ufahamu Hamas hawana makombora ya kutungua ndege, Hamas, hawana Chopa, Hamas hawana msaada wowote kusema wanapewa silaha Hamas wanatengeneza makombora yao hapa Gaza kama Tabata au Gerezezani wanapambana na mataifa makubwa yenye nguvu na silaha Marekani, Israel, Canada, Ufaransa. Ujerumani...Hamas wazuie mauaji ya wanawake na watoto yanayofanywa na IDF.
Wakuzuia ni UNO. Wao kazi yao kuangamiza adui na anaangamia kweli...Hamas wazuie mauaji ya wanawake na watoto yanayofanywa na IDF.
Kumbe IDF waliweza kudhibiti Gaza kaskazini? Mbona mlisema wanauawa sana na HamasWanaukumbi
IDF ilipoteza udhibiti kamili kaskazini mwa Gaza. Maeneo makubwa yamerudi chini ya udhibiti wa All -Qassam.
Kaskazini ilikuwa chini ya udhibiti wa Hamas kila wakati, habari za uongo kuhusu ushindi kutoka kwa Waisraeli zinashangaza wakati ukweli unapikwa kila siku, hakuna lengo moja muhimu la kijeshi la Israel lililofikiwa katika kampeni yao dhidi ya Gaza, siyo kaskazini au kusini.
Labda kuuwa watoto, wanawake waandishi wa habari kuvunja majengo.
Kwa mujibu wa sheria za kimataifa ni jukumu la wanao washiriki wa vita kuwalinda raia wasidhurike na mapigano yao...Hamas wazuie mauaji ya wanawake na watoto yanayofanywa na IDF.
Lipumbavu hili Hammas la Tumbi hata alichoandika hajui,Kumbe IDF waliweza kudhibiti Gaza kaskazini? Mbona mlisema wanauawa sana na Hamas
Kunywa maji mengi kijana usije ukapata presha na joto la dar [emoji3][emoji1787][emoji3]Lipumbavu hili Hammas la Tumbi hata alichoandika hajui,
huku analalamika huku anasifu.
Kashashiba biriyani
Kijana wakati mi babaako mkubwa,uwe na adabuKunywa maji mengi kijana usije ukapata presha na joto la dar [emoji3][emoji1787][emoji3]
Siyo tulisema hali ilikuwa hivi.Kumbe IDF waliweza kudhibiti Gaza kaskazini? Mbona mlisema wanauawa sana na Hamas
Angalia hiyo video.Hao makamanda wa Al Qassam wajitokeze hadharani watoe video wakiwa huko kaskazini ya Gaza otherwise taarifa za uzushi na uongo kama za Comical Ali wa Hayati Saddam. Makamanda wa Magaidi wote wamejificha ardhini au wamekimbilia nje ya nchi.
Kwa mujibu wa sheria za kimataifa ni jukumu la wanao washiriki wa vita kuwalinda raia wasidhurike na mapigano yao.
Hivyo ni jukumu la Israel kuhakikisha kuwa mashambulizi yake dhidi ya Hamas hayawaathiri raia.