Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #721
Mzee wangu mpendwa siwatafuti ila nafanya utafiti kuhusu wao.Nelson...
Unanishangaza.
Ikiwa wewe tayari una imani yako Mungu ndiye unae toka alipokuumba.
Sasa kuwatafuta hao waungu wengine si utamuudhi mungu wako?
Kwani waungu wako wengi?
Nelson...Mzee wangu mpendwa siwatafuti ila nafanya utafiti kuhusu wao.
Nipatie kitabu nilichokuomba CHA AL AZIF kama unacho mzee wangu
Mzee wangu au wewe uislamu wako hukusomea Lamu zile elimu za kiarabu???Nelson...
Sina kitabu hicho nasikitika.
Wajanja sana hawa.Eti mayahudi wamejichanganya na wamasai.Tanzania kuna wayahudi wengine wa mchongo wanaoitwa sabato lakini kwa wamasai hamna kitu. Wanaanza fitna zao hapo ili baadae waseme Ngorongoro ni mbuga waliyoahidiwa.
Jeshi bora linashambuliwa kwake na silaha za kizamani za vita ya pilli ya dunia watu wanaruka na parachuti wanashambulia kisha wanaondoka na mateka jeshi bora limelala.Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus katika mission zaidi ya 1000 akiwa na washirika wake!!!Mataifa mengine yanafeli wapi?
Nelson...Mzee wangu au wewe uislamu wako hukusomea Lamu zile elimu za kiarabu???
Anyway kama ulikula yamini ya kutotamka basi sawa nishaelewa
Mkuu unajua kitu kinaitwa suprise attack??? Hata majeshi ya marekani na urusi yanafanyiwa surprise attacks na watu wao wanauliwa na kuchukuliwa mateka ila haiondoi ubora wa majeshi yao.Jeshi bora linashambuliwa kwake na silaha za kizamani za vita ya pilli ya dunia watu wanaruka na parachuti wanashambulia kisha wanaondoka na mateka jeshi bora limelala.
Teh teh teh
Mzee wangu usijali kuhusu kitabu cha elimu ya siri ya kiislamu kuna kitu unakikwepa nimekuuliza???Nelson...
Umeniomba kitabu nimekujibu sina.
Mkuu hizo propaganda tu na unaweka picha za raia waliotekwa.Jenerani wa Jeshi Bora la Israel amchomolewa chumbani na boxer na Wanamgambo wa Hamas [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2788091View attachment 2788092
Vp mkuu unajua kitu kinaitwa ingia mkenge ulie lie.......sasa waarabu wa gaza wameingia mkengeJeshi bora linashambuliwa kwake na silaha za kizamani za vita ya pilli ya dunia watu wanaruka na parachuti wanashambulia kisha wanaondoka na mateka jeshi bora limelala.
Teh teh teh
Mzee wangu...vp mfungo unaendelea vyema???Nelson...
Umeniomba kitabu nimekujibu sina.
Kama IDF wasingekua bora katika kulinda aridhi ya mababu zao.....waaarabu na waturuki na mahasimu wao kisiasa......wangewafanyia kama walivyowafanyia.....wayazidi,wakurdi,na waarmenia na watu wa alibania na wabosinia.Jeshi bora linashambuliwa kwake na silaha za kizamani za vita ya pilli ya dunia watu wanaruka na parachuti wanashambulia kisha wanaondoka na mateka jeshi bora limelala.
Teh teh teh
IDF ni bora mashariki ya kati tu pale...Semi-regional power.Kwa sasa inasumbua na makundi ya watu wals hata sio nchi (formidable).Warfare imebadilika sana miaka ya karibuni..unaweza kuwa superpower nchi ndogo tu ikakuweka chini..Kama IDF wasingekua bora katika kulinda aridhi ya mababu zao.....waaarabu na waturuki na mahasimu wao kisiasa......wangewafanyia kama walivyowafanyia.....wayazidi,wakurdi,na waarmenia na watu wa alibania na wabosinia.
Nelson...Mzee wangu...vp mfungo unaendelea vyema???
Umeamini maneno yangu Kua IDF na Mossad ni bora kwenye ujasusi......umeona walivyowaingiza mkenge waarabu wa Hamas October 07Nelson...
Alhamdulilah.
Almost hizo nchi zote za waarabu wa region yake kashapigana nazo.......indirect or directly...!!!!IDF ni bora mashariki ya kati tu pale...Semi-regional power.Kwa sasa inasumbua na makundi ya watu wals hata sio nchi (formidable).Warfare imebadilika sana miaka ya karibuni..unaweza kuwa superpower nchi ndogo tu ikakuweka chini..
Israel mpaka akutane na ngoma nzito ndo tutampima...mfano wazichape na Iran kavu kavu ndo tutajua
Ila nataka siku wafanye jambo na nchi ambayo sio ya kiarabu,,,,,,,,.....waarabu hawajielewi hao watuAlmost hizo nchi zote za waarabu wa region yake kashapigana nazo.......indirect or directly...!!!!
Kua bora sio super power bali timing.
Mada yangu ilijikita kwenye ujasusi uliofanikisha misheni za IDF