IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Hao wanakula kichapo kila siku....hadi wanavua sare za jeshi....na kuishia kujificha kwa wanawake na watoto.....wameingizwa mkenge October 07.......waturuki waliwapatia intelijensi feki.........🤣🤣🤣
Huoni hata haya? Mwezi wa ngapi leo?
 
Mkuu tuliza munkari......sio lazima watu wote wafuate mapokeo ya kiarabu....!!
Wengineo wameamua kufuata mapokeo ya wayahudi.
Tuliza munkari sheikh Jagina.

WEWE NI MBWA TU NA NGURUWE ANASEMA YESU


The Interpreter's Bible, sahifa 441 jalada VII ambamo imeandikwa hivi:

"Yaonekana wazi kuwa Yesu hakika aliamini kuwa ujumbe wake kwanza na hasa ni kwa watu wake mwenyewe."

Ndio maana alisema:

Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.

Mathayo 7.6

Mbwa na nguruwe ni watu wa mataifa yasiyokuwa wana wa Israili.

Ukristo haufai kufundishwa watu wo wote isipokuwa Mayahudi.

Hayo ndiyo mawazo ya Yesu, au ya hao walioandika Injili na wakatia maneno hayo kinywani mwa Yesu.
 
Huoni hata haya? Mwezi wa ngapi leo?
Bibi haya gani........watu wanachapika taratibu.....ili dozi iwaingie.
Wewe si ulikua unashangilia October 07 waarabu wa hamas walivyoingizwa mkenge na Mossad???
Bas tulia dawa iwaingie waarabu wa Gaza strip....ili wawe na adabu.
 
😂😂😂MKUU YESU NDIO NANI????
MAANA KUNA YESU WA WAYAHUDI.
NA KUNA YESU WA WAARABU ISSA.
HIZO MADA WAPELEKEE WAFIA DINI ZA WAKOLONI
NB: MADA YETU NI MAYAHUDI KUWAZIDI MAARIFA MAARABU HAPO MASHARIKI YA KATI.....KATIKA NYANJA ZOOOTE NA KIAKILI.
 
Huoni hata haya? Mwezi wa ngapi leo?
Nasikia gaza sasa hv waarabu wanauana kugombea chakula cha makafiri 🤣🤣🤣🤣.
Na wote wanavua nguo za kijeshi na kujificha nyuma ya wanawake na watoto.
WANAPEWA DOZI TARATIIIBU NA IDF....HAKUNA KUWAMALIZA BALI KUWATIA ADABU NA KULIPA KISASI...!!!
Au bibi wewe ulitaka dozi iishe baada ya wiki 🤣🤣???
 
COHEN......WARAABU MPAKA LEO WALIUSHIKILIA MWILI WAKE....WAKAKATAA KUUACHIA.....MOJA YA WATU BORA KABISA WA MOSSAD
 
IDF ilipewa sifa hewa,wameshindwa kabisa kukomboa mateka mwezi wa 6!
 
MKUU HAYO MANENO HUJAANZA KUSEMA WEWE TU.....HUKO NYIMA WALISEMA WAARABU WOTE NA WAKAUNGANA ZAIDI YA MARA TANO.....ILA KILICHOWAKUTA WANAJUA....
NB:MFANO MZURI WARAABU WA HAMAS WAMEVUA MAGWANDA YA KIJESHI NA KUKIMBILIA KUJIFICHA NYUMA YA WANAWAKE NA WATOTO BAADA YA KICHAPO KUWAZIDIA... !!
SASA HV WAPO DOHA QATAR WANALILIA CEASE FIRE.
 
IDF ilipewa sifa hewa,wameshindwa kabisa kukomboa mateka mwezi wa 6!
MKUU WEWE SASA UNAWAPANGIA CHA KUFANYA....IDF HAINA HAJA NA MATEKA 132....YENYEWE INA HAJA NA KUUA WAARABU ELFU 50 ILI WAHESHIMIANE......NDIO MAANA WAARABU WA HAMAS WANAVUA MAGWANDA NA KUKIMBILIA KUJIFICHA NYUMA YA WANAWAKE NA WATOTO HUKU WAKILILIA CEASE FIRE......NA DOZI NI TARATIIIBU MWAKA MZIMA ILI IWAINGIE VIZURI
 
Mzee kusema kweli....mm wewe kwangu ni mazalia ya wanafunzi wa wakoloni......elimu yako ni ya wakoloni wa kiarabu na kizungu.Hata hizo paper zako unawasifia wakoloni tu wa kizungu na kiarabu waliokupa elimu zao....ndio maana napata ukakasi na kauli zako mzee wangu.
Hauna elimu yoyote kuhusu ubantu....sababu umeukana kuanzia majina,imani mpaka matendo.
NB: Mm nakujua mzee wangu Said tokea vurugu za mwembe chai mwaka ule.
Kalamu yako inaishia kwa watu wa mrengo flani tu.
Mfano mzuri hapo kiungani SUZA chuo cha watu wa mrengo flan.
 
Wewe muisrael wa buza ndio unasema hayo,ila malengo yaliyotangazwa wakati IDF wanaivamia Gaza,mojawapo ni kukomboa mateka!
Wewe endelea kubumba ya kwako na kufurahusha genge!
Huko Israel maandamano kila siku baada ya kuona mission ya kuokoa mateka kwa nguvu imefeli,sasa wanaitaka serikali yao kuingia makubaliano na Hamas ili mateka waachiwe!
Au tukuamini wewe😂😂
 
Sawa mwarabu wa tegeta 😂😂😂.....haya nenda IDF HEAD KOTA......WAAMBIE KIPAUMBELE CHAO NI KUOKOA MATEKA NA SIO KUUA WAARABU.
NB: MIMI NIPO BUZA KWA MAMA KIBONGE NAKUSUBIRIA UNIPE JIBU
 
Sawa mwarabu wa tegeta 😂😂😂.....haya nenda IDF HEAD KOTA......WAAMBIE KIPAUMBELE CHAO NI KUOKOA MATEKA NA SIO KUUA WAARABU.
NB: MIMI NIPO BUZA KWA MAMA KIBONGE NAKUSUBIRIA UNIPE JIBU
Endelea kukaza mishipa!

Financial times:
Since the start of the war in Gaza, Israel’s armed forces have pursued their twin objectives — “dismantling” Hamas rule in the territory and rescuing all remaining Israeli hostages seized by the group — with ferocity and determination.Three months on, however, many in Israel, including Gadi Eisenkot, a member of the war cabinet, have begun to question whether either or both of those aims can be achieved.Michael Milshtein, a former Israeli intelligence officer and expert on Palestinian affairs, said Israel faced a dilemma. “We’ve reached a T-junction: either you reach a full deal [with Hamas for the hostages] and withdraw, or you go for the full toppling of the Hamas regime and the conquest of all of Gaza,” he said. “You need to choose.
 
Mkuu nikaze mshipa wapi......uzi wangu ni kuhusu ubora wa IDF na MOSSAD......waarabu wa hamas waliingizwa mkenge na makachero wa kituruki October 07.........wakajaa kwenye mitego ya MOSSAD......sasa hv wanakula dozi taratibu.......mpaka inafikia hatua wanavua magwanda ya kijeshi.....na kukimbilia kujificha kwa wanawake na watoto 😂🤣🤣🤣🤣.
SHEREHE YOTE YA OCTOBER 07 IMEKUA KILIO......WANALILIA CEASE FIRE 🤣😂😂
 
Ndugu zanguni,
Taarifa za mauaji ya Wayahudi na Hitler yalifanyika kwa siri na kimya kimya katika "Concentration Camps," maarufu katika hizi ni Auschwitz, Poland.

Dunia haikujua nini kilikuwa kinafanyika katika nchi ambazo Hitler alikuwa keshaziteka.

Lakini kulikuwa na uvumi kuwa Hitler amekusudia kuwagharikisha Wayahudi wote na akiwatia katika matanuri ya gesi.

Ilikuwa tabu watu kuamini maneno haya lakini duru za kiinteligensia ziliingia kazini kutafuta ukweli.

Kipindi hiki ilikuwa kama vile Ujerumani na washirika wake watashinda vita.

Kila kukicha Wayahudi walikuwa wanakusanywa na kupelekwa kwenye kambi za mateso na mauaji, kazi ngumu chakula kidogo.

Myahudi kama hakufa kwa kipigo cha askari wa Kijerumani atakufa kwa kazi ngumu au ndani ya gas chamber.

Neno Gestapo likawa linatisha.

Hawaitembelei familia ikabakia salama.

Myahudi akapoteza kabisa utu wake.
Hana thamani.

Vita vikageuka Hitler alipodhani kuwa anaweza kuiteka Urusi.

Urusi kwa kipimo isingeweza kuhimili mikiki ya Hitler lakini General Winter akatokea.

Hili baridi kali ndilo lililoinusuru Soviet Union.

Wajerumani hawakuweza kusonga mbele.

Lakini matanuri hayakusimama kuua.

Gestapo ilisimamisha unyama wao pale ilipowadhihirikia kuwa kilichobakia ni kwa wao kunusuru nafsi zao.

Hofu yao kubwa sasa ilikuwa kukamatwa na Red Army ambao walijua watawaua.

Hii ndiyo ikawa nusra kwa Wayahudi.

Red Army ilikuwa inasonga mbele nyuma ya majeshi ya Hitler yaliyokuwa sasa yanakimbia yakirudi nyuma.

Allied Forces askari wao walipoingia Auschwitz macho yao hayakuamini waliyoyaona.

Inawezekana vipi binadamu kumfanyia binadamu mwenzake ukatili kama ule.

Wayahudi ndani ya kambi wamebakia mifupa na ngozi.

Imekuwaje hawajafa wote kama ilivyokusudiwa, Allah ndiye ajuaye.

"Final Solution" imeshindikana.

Nimefika nyumba ya kumbukumbu ya holocaust Berlin.

Nimefika mara mbili Msikiti Mkuu wa Paris ambao ulitumiwa kuwaficha Wayahudi waliokuwa wanakimbia kuuliwa na Hitler.

Ofisi yangu Berlin ndani ya Zentrum Moderner Orient (ZMO) jumba hili lilikuwa makao makuu ya Gestapo wakati wa WWII.

Hili sikulitegemea katika maisha yangu.

Nimetafiti na kusoma mengi katika historia ya balaa lililowakuta Wayahudi na kuangamizwa kwao.

Sijakuta mahali popote watu wanashangilia mateso ya Wayahudi na kuuliwa kwao.

Sijaona wala kusoma popote Gestapo ikisifiwa uhodari wa kukamata Wayahudi, kuwatesa kisha kuwaua kwa gesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…