Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Qur'an si kitabu cha hadithi ni maneno ya Mungu, na Mungu kawambieni jikusanyeni dunia nzima nyie wakristo na wayahudi na majini me na sura ndogo sana ya Qur'an kama hi Ina Atwainaki Al Kauthar hamuwezi.Biblia propaganda ya Paulo myahudi na Qur'an propaganda ya Mudi mwarabu.......hapo ngoma droo mkuu 🤣🤣🤣 kwa nyie watu wenye dini zenu
Hakuna ushahidi....kama upo ulete au huyo mungu mlete adhibitishe mkuuQur'an si kitabu cha hadithi ni maneno ya Mungu, na Mungu kawambieni jikusanyeni dunia nzima nyie wakristo na wayahudi na majini me na sura ndogo sana ya Qur'an kama hi Ina Atwainaki Al Kauthar hamuwezi.
Hicho ni kitabu tu cha adithi za kiarabu na historia za waarabu na miungu yao ya kale ya kiarabu na tamaduni zao kuabudu nyota na mwezi... !!!Qur'an si kitabu cha hadithi ni maneno ya Mungu, na Mungu kawambieni jikusanyeni dunia nzima nyie wakristo na wayahudi na majini me na sura ndogo sana ya Qur'an kama hi Ina Atwainaki Al Kauthar hamuwezi.
Ushahidi wanini tena na dalili zipo wazi kabisa mwenye imani huwa hatishiki kufa kama nyie wavaa misalaba, mwenye imani huwa anamini duniani ni maisha mafupi tupi hata upewe umri wa miaka 950 kama Nabii Nuhu, hata Nabii Nuhu alipo ulizwa alijibu nikama vile kaingia chumbani na akatoka chumbani pale pale kwenye hio miaka 950, iwe we wakuishi miaka huzidi 100.Hakuna ushahidi....kama upo ulete au huyo mungu mlete adhibitishe mkuu
Qur'an imetafsiriwa kwa lugha zote kama vile bibilia fake ya Paulo pia ilitafsiriwa ni wewe kutumia akili yapi ndio maneno ya Mungu na wapi maneno ya mtunga hadithi.Hicho ni kitabu tu cha adithi za kiarabu na historia za waarabu na miungu yao ya kale ya kiarabu na tamaduni zao kuabudu nyota na mwezi... !!!
Mkuu
Leta ushahidi ulio wazi mkuu acha maneno.Ushahidi wanini tena na dalili zipo wazi kabisa mwenye imani huwa hatishiki kufa kama nyie wavaa misalaba, mwenye imani huwa anamini duniani ni maisha mafupi tupi hata upewe umri wa miaka 950 kama Nabii Nuhu, hata Nabii Nuhu alipo ulizwa alijibu nikama vile kaingia chumbani na akatoka chumbani pale pale kwenye hio miaka 950, iwe we wakuishi miaka huzidi 100.
kule kwenye kaburi ndio kwenye maisha marefu ama uwende peponi au motoni
Huko ndio utafahamu msalaba na bibilia ya paulo ndio vilikupoteza .
Ww unapondea imani za wayahudi afu unasifia imani za waarabu.Qur'an imetafsiriwa kwa lugha zote kama vile bibilia fake ya Paulo pia ilitafsiriwa ni wewe kutumia akili yapi ndio maneno ya Mungu na wapi maneno ya mtunga hadithi.
Nuhu ndio nani???Ushahidi wanini tena na dalili zipo wazi kabisa mwenye imani huwa hatishiki kufa kama nyie wavaa misalaba, mwenye imani huwa anamini duniani ni maisha mafupi tupi hata upewe umri wa miaka 950 kama Nabii Nuhu, hata Nabii Nuhu alipo ulizwa alijibu nikama vile kaingia chumbani na akatoka chumbani pale pale kwenye hio miaka 950, iwe we wakuishi miaka huzidi 100.
kule kwenye kaburi ndio kwenye maisha marefu ama uwende peponi au motoni
Huko ndio utafahamu msalaba na bibilia ya paulo ndio vilikupoteza .
Idf ni nini na mossad ni nini?Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus katika mission zaidi ya 1000 akiwa na washirika wake!!!Mataifa mengine yanafeli wapi?
Kale ni kukatangaza kuwa mkoa.Kichekesho! Kuna ka nchi kanajiona ni israel ya afrika ya kati, kanipiga mikwara wenzake wakubwa eti kanasea kako imara. Sasa kasijaribu kuichokoza nchi moja kubwa jirani yake na katajua kako imara kwa kiasi gani. Ile nchi kubwa jirani yake daima ina nguvu za kuwachakaza wachokozi, wawe wakubwa au wadogo kichapo kikubwa hupata
Kwa mjomba huko 🤣🤣🤣Kale ni kukatangaza kuwa mkoa.
Nelson...View attachment 3014243
Gaza hawaonekani hawa special unit tena....maana hali sio rafiki kwao na hakuna cease fire tena inayowapa mda wa kuregroup na kujipanga upya.
Huwaoni wakihojiwa na Al jazeera au Al arabiya au BBC.
Walichongamua vita sio propaganda show........so now wamekuja na mpango kazi mpya wa kujichanganya na raia na kuvaa kiraia.
Maana mpango kazi wa mwanzo wa kuchukua mateka haujafanya kazi ambayo waliamini ingesitisha mapigano na kubadilishana wafungwa............!!!
HAMAS waliingia kwenye mtego wa MOSSAD ambao walitoa taarifa feki kwa vikosi vya upelelezi vya HAMAS na kuwaruhusu wafanye mashambulizi yale....ili waingie mtegoni na IDF wapate sababu ya kuwashambulia wapiganaji wa HAMAS waliopo ukanda wa gaza.
Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus katika mission zaidi ya 1000 akiwa na washirika wake!!!Mataifa mengine yanafeli wapi?