IDF waanza kutoa ushahidi unao onyesha wanahabari wa Al Jazeera walikua magaidi yenye mlengo wa kidini

Una maswali yangu hujajibu
 
Mnasubiri IDF na MOSSAD watoe wakati kila kitu kipo wazi?
PONDA na Mazuzu wenzie waliotaka kuandamana kuunga mkono magaidi wa kiislamu wa Palestina ulishaona wakiandamana kupinga kuuwawa kwa wakristo huko Nigeria, Sudan na kwendineko?
 
Wewe bro sijui ni kutokujua? Au udini umekupofusha! Ukiona watu wanapanga namna ya kukutawala ujue hiyo vita umeshindwa. Kwenye maswwla ya vita nadhani watu hawajui nini maana ya kufuta. Ukisika kufuta ni kuvjnja uti wa mgongo wa jeshi husika, uti wa mgongo ukishavunjwa jeshi au kikundi chochote si kwamba kimefutwa bali kimesambaratishwa , wapiganaji wanaweza kuwa wapo lakini hawana muunganiko wenye nguvu, na wanaweza kuwa wanaua pia. Kuifuta hamasi isiwepo kwenye mioyo ya watu wa gaza ni ngumu, lakini kuuvunja uti wa mgongo wa hamasi umevunjwa na unaendelea kuvunjwa. Hayo majumba unayosema yanavunjwa ndiyo uimara wa gaza economy, watu hawafanyi kazi , magonjwa yameingia, hawana maji ya kunywa, hosp hakuna inayofanya kazi japo kwa kiwango cha 20 asilimia, ngome au maficho yameangamizwa. Ndg vita siyo ushabiki wa kidini . Wapalestina wachache au wengi waliopo huko nje ya gaza wanajitahidi kuleta habari za uongo,tofauti na hali halisi ya gaza. Ni kweli kwa hali kama ilivyo gaza kutiana moyo ni muhimu , lakini si kwa kiwango kikubwa cha ujinga kama ilivyo humu jf. Haiwasaidii chochote wamama wanapoteza watoto wao huko gaza , ushabiki wa kidini mnaofanya humu jf. Watu mia mbili wanakufa kwa siku ! Nyinyi mnaleta ushabiki wa kidini. Aliyeshindwa vita hakalii ardhi ya adui bali aliyeshindwa hushambulia kwa kuvizia tena akiwa katika mavazi ya kiraia. Iweni na akili.
 


Usisahau maneno ya Bwana Yesu


 
Ushahidi mwingi wa Israel ktk hii vita ni feki.

Wamewahi kutoa majina ya siku katika kalenda ya kiarabu wakasema hayo ni majina ya Members wa HAMAS

propaganda ya 40 beheaded babies nayo ilikuwa feki.

Juzi gazeti moja lilitoa taarifa ya ubakaji wa wanawke siku ya october 7, Mama mzazi wa mmoja aliyetajwa ktkhilo gazeti kuwa mwanae alibakwa akaja juu akasema mawanae hakubakwa.

Kwa hiyo Israel ni waongo waongo, hakuna wa kuwachukulia serious!
 
Hakuna kifo hakina ushahidi na Israel wapo vizuri kwenye hili na maadui zao wanajuwa ukweli.
 
aisee ni bonge la tegoo mazee dah..hapa mpalestina kakosea njiaa kwa myahudiiii...unabeba kasabuni ka kijanii alf baadae unapakwa matee hataree na yahudis...
View attachment 2867974
Akili zenu zipo kwenye mavi tu mimi huwa sishangai kuona mkiosha choo kwa sabuni na maji laki mavi yenu mnatumia toilet paper ili mgando ubaki unatembea nao 😄
 
Hawa mbwa siyo wa kuwasikiliza.

Walimuua Abu Sherin akiwa kashika mic tu mkononi, tena mbele ya camera watashindwa nn kuua na kupakazia uongo?
IDF ni magaidi
 
Dini za wakoloni umletewa na huna uhakina nayo "unaita ndugu zako, mama zako, wakwe zako, wanao kupigia dada yako " kafiri.
#Dini Utumwa.
Imani yako mpaka elimu umeletewa una nn cha maana ngozi nyeusi wewe!?
......Hauna conscious kiasi hicho we ni mtumwa mpaka unakufa ..
 
Duhh,lione JINGA litakatifu liyahudi hili

Upo usingizini eeeh??
 
Pole kwa msongo wa mawazo!
 
Hahaha wamechanganyikiwa ushahidi wasuburi kesi ya South Africa wasiwe na haraka🤣
Akili zenu zipo kwenye mavi tu mimi huwa sishangai kuona mkiosha choo kwa sabuni na maji laki mavi yenu mnatumia toilet paper ili mgando ubaki unatembea nao 😄
🤣🤣🤣
 
Mafarisayo huwa mna tabu sana sasa Yesu anahusika wapi hapa??? Mada ni tofauti na jibu

Yesu atabaki kuwa Yesu na ndie Masihi, mwamba imara, mwokozi wa ulimwengu na hakuna linaloshindikana kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…