IDF waanza kutoa ushahidi unao onyesha wanahabari wa Al Jazeera walikua magaidi yenye mlengo wa kidini

Wao wanashindsa nini kuvunja majumba
 
Hivi IDF haina mlengo wa kidini? Au Waisrael na wanaitetea Israel wanaitetea uwepo wake pale kwa mlengo hupi kama sio wakidini?
 
Hivi IDF haina mlengo wa kidini? Au Waisrael na wanaitetea Israel wanaitetea uwepo wake pale kwa mlengo hupi kama sio wakidini
 
🚨🇿🇦🇮🇱 KESI YA ICJ - AFRIKA KUSINI: ISRAEL YALENGA NYUMBA ZA FAMILIA | 1% IDADI YA WATU WAMEUAWA, 25% WAMEJERUHIWA

"Pia kuna mtindo wa wazi wa tabia ya kulenga nyumba za familia na miundombinu ya kiraia, kuharibu maeneo makubwa ya Gaza.

Kupigwa risasi kwa wanaume, wanawake na watoto mahali walipo, uharibifu wa miundombinu ya afya na ukosefu wa msaada wa kibinadamu, kiasi kwamba tunaposimama leo 1% ya idadi ya Wapalestina huko Gaza imeharibiwa kwa utaratibu, na mmoja kati ya wanne. binamu wamejeruhiwa tangu Oktoba saba.

Mambo haya mawili pekee yana uwezo wa kudhihirisha dhamira ya Israel ya mauaji ya halaiki kuhusiana na wakazi wote au sehemu ya Wapalestina huko Gaza."
 
Hivi IDF haina mlengo wa kidini? Au Waisrael na wanaitetea Israel wanaitetea uwepo wake pale kwa mlengo hupi kama sio wakidini?

IDF ina watu hadi wasioamini katika dini, ni jeshi la nchi kama ilivyo JWTZ ila sasa wanapambana na misukule ya kidini kama hawa hapa
 
Sasa wewe Kima kama majengo yote yamevunjwa hao panya Hamas wanaishi wapi? Wanaishi kwenye vifusi???

Wewe ni mpumbavu kuliko hao Wapalestina wanaokufa kwa ahadi ya kwenda kuwakatia viuno mabikra 72.

Hao wanaowatuma wao hawzitaki hizo Bikra na pombe za Bure!!? Puumbavu kabisa
 
Mpumbafu ni yule anayedhania kuvunja majumba ndio vita au kuwauwa watoto na wanawake.

We si mpumbafu tu peke yako ni family yako yote wapumbafu kulea mtoto kama wewe.
 
usiwapambe hawana kitu mashogha wamebondwa sana na wataendelea kubondwa ila hawawezi kukwambia mtu km wewe coz usije wakatia tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…