IDF wakijivinjari kwenye mitaa ya Jenin ole wako urushe jiwe umekwisha!

IDF wakijivinjari kwenye mitaa ya Jenin ole wako urushe jiwe umekwisha!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Askari wa Israel wakiwa kwenye mitaa ya Jenin usiku huu hapo wako kwenye mission ya kwenda kulikamata Gaidi.

 
Boss wao kajinyonga. Muuaji wa wawasio hatia
 

Attachments

  • IMG_20250514_182756_571.jpg
    IMG_20250514_182756_571.jpg
    26.9 KB · Views: 36
Hayo ma-truck hata kombora haipenyi hapo!
 
Mgonjwa wa akili kujinyonga siku nayo imekuwa habari sheikh? Au mimi ndio sijui maana ya habari.
Mimi sijatoa habari, elewa hilo na aliyejinyonga hakuwa mgonjwa akili! Mimi nimekuongezea taarifa Kwamba Kuna wagonjwa wa akili katka jeshi lao Sasa wapi nimesema mgonjwa wa akili kajinyonga?
 
Hayo ma-truck hata kombora haipenyi hapo!
Acha hayo matruck Kama vifaru vifaru vyao vinasambazwa na ATGM- Yasin 05 zilizochongwa Kwa mkono Kwenye tunnels hapo gaza
 
Back
Top Bottom