Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Tungoje taarifa zaidi
#Breaking: Confirmed: A senior Houthi leader, along with two unnamed Iranian missile experts, killed in a U.S. drone raid on a military base in Al-Bayda Governorate, Shaab Al-Makhdara area. The strike targeted a missile launch pad set for launch at 8:30 pm Sanaa time. Via @RashidMaarouf
Hapo middle East soon kitawaka. Tuombe Mungu wasifike huko mafuta tutanunua Lita moja 10,000.Wanawapiga mtungo waarabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Huku Israeli kule Marekani.
Kweli mkuu! Mafuta tayari ni bei ghali sipati picha yakipanda bei ZaidiHapo middle East soon kitawaka. Tuombe Mungu wasifike huko mafuta tutanunua Lita moja 10,000.
Kila siku akiuliwa wa Iran ni kiongozi wa ngazi za juu!?..shambulio la Iraq liliondoka na cia wasiopungua wanne na mossad,Leo wamarekani Iraq wametandikwaTatizo hata akilipa hauwi Waisrael muhimu au viongozi wa ngazi za juu anaishia kuua raia wa nchi nyingine wanaotumiwa na Mossad. Viongozi waliouawa Leo ni viongozi wa ngazi za juu toka jeshi la Iran (IRGC)
Hii ni kawaida hata huko Urusi wanajeshi wameshauana vya kutosha, Vita sio game la War thunder..Breaking | Israeli media sources report that an Israeli soldier, who recently returned from combat in Gaza and appeared to be suffering from PTSD, opened fire at another Israeli, killing him instantly.
Majina na picha zao ziko wapi?Kila siku akiuliwa wa Iran ni kiongozi wa ngazi za juu!?..shambulio la Iraq liliondoka na cia wasiopungua wanne na mossad,Leo wamarekani Iraq wametandikwa
🤣🤣🤣 lini na wapi labda kwa mgongo wa magaidi wakujificha ficha ndio kawaida ya magaidi