Hamas sio waislam?Zote hizi ni direct hit targets za hizbo tuu sijajumuisha hamas, westbank na kambi ya Iraq ili mujue waislam sio magaidi wazayuni ndio magaidi yenyewe waislam wanapiga kambi za jeshi tu na maeneo ya jeshi kwakua wanajua wataulizwa na mwenyewe muumba
Ndege 100!?πππππKwani umesahau zilivyoelea anga la kwa akina Hezbollah?Zilikua ngapi?
Usijali ndugu yangu. Nakuelewa.Ndege 100!?πππππ
Huwezi ukawa na utimamu wako kaka.
Samahani kwa hii kauli ila hauko katika utimamu wako.
Unajua ndege moja inabeba mabomu uzito kiasi gani!?
Hiyo Gaza tu yote imegeuzwa kifusi kwa ndege zisizozidi 20.
Leo hii kaeneo kadogo walipoweka kambi Hizbollah pashambuliwe na ndege 100!??
ππππHilo eneo litakua limekula vilipuzi vinavyokaribia na Gaza combined na vilipuzi vingine.
Ndugu 100IAF ni aina ya ndege za kivita na sio ndege 100.Israel imeshauliwa iachane na sera za kujilinda bali kushambulia.. kwani hizo sera za kujilinda zinawapa uhuru waislam kujidai dai na kujiamulia pa kupiga. Dawa wakibweka tu kichapo hata Iran ataacha kuongea imefika hata Zanzibar anaweza mpiga mkwara Israel kwa sababu Israel hawezi fanya kitu kwa mikwara atakuacha tu... ila ukirusha umekwisha.. tizama kwa Houthi hana hata uwezo ila kwa maneno ni funga kazi.. akianza chimba biti
Barikiwq mtu wa munguKwa strategic attack Israel ni noma sana. But the good thing is hawachokozi! Ila wakichokozwa ni hatari sana maana ndivyo yasemavyo maandiko yao.
ππππππππAisee leo nimesikitika sana hiii hiii hiii!?
ππππππSawa huwa unatudanganya Israel ila hii ya leo hapana baba hapana aisee dunia simama nishuke.
Fighter jets 100 kushambulia baadhi tu ya kambi katika kaeneo kadogo!??
πππππππππDunia ndio ione sasa kuwa ISRAEL IS THE NATION OF LIES AND FALSE INFORMATIONS.
Netanyahu ameamua kupeleka kiama kwa magaidi ya LebanonNdugu 100IAF ni aina ya ndege za kivita na sio ndege 100.
Operation ya ndege 100 ni nyingi sana kwa Israel kurisk.
umewanukuu hao hao watu wa NetanyahoNetanyahu ameamua kupeleka kiama kwa magaidi ya Lebanon
Israeli wana roho nzuri sana.Kwa hiyo wanataka jamaa wakawatwae mabikra sevent two @ in advance?Netanyahu ameamua kupeleka kiama kwa magaidi ya Lebanon
Kwa akili za kawaida 100 jets sio za kudeploy hapo.
Wasome reuters hao mkuu.Huu sasa ni uwehu, kila mtu anasema yeye ndio kampiga mwenzake.
Huu ni uwendawazimu au?
ππππππππAisee leo nimesikitika sana hiii hiii hiii!?
ππππππSawa huwa unatudanganya Israel ila hii ya leo hapana baba hapana aisee dunia simama nishuke.
Fighter jets 100 kushambulia baadhi tu ya kambi katika kaeneo kadogo!??
πππππππππDunia ndio ione sasa kuwa ISRAEL IS THE NATION OF LIES AND FALSE INFORMATIONS.
Waongo hao eti Hezbullah karusha missiles 6000 jana na ndege zao zime vunja launcher nying, kabla hazijarusha missiles, nani atamini haya unless awe kichaa.Wadau hamjamboni nyote?
Israel yafanya kufuru Leo asubuhi
Iko hivi
Hezbollah walishajiandaa kuisambaratisha Israel hasa maeneo ya kati na kaskazini
Hata hivyo idarayaza ujasusi za Israel zilipata taarifa kamili ya mipango hiyo ya magaidi
Sasa walichofanya IDF ni kuwawahi Kwa kuishambulia kambi zao zilizokuwa na sehemu maalumu za kurushia makombora na kuisambaratisha
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
IDF hits Hezbollah launch sites in Lebanon to thwart major attack on central, north Israel
Thousands of rocket launchers struck simultaneously by 100 jets; targeted launchers were primed to fire at Tel Aviv at 5 a.m.; terror group fires hundreds of rockets at Israel
By Emanuel Fabian Follow
and Lazar Berman Follow
Today, 8:29 am Updated at 10:44 am
Israeli fighter jets simultaneously struck thousands of Hezbollah targets across southern Lebanon early Sunday morning in what the military said was a preemptive operation against weaponry that would have been used in a major attack on central and northern Israel.
Thousands of Hezbollah rocket launchers were struck simultaneously by some 100 IAF fighter jets in the preemptive attacks, the military said.
While central Israel was in the terror groupβs crosshairs, the majority of the Hezbollah rocket launchers struck by the Israeli Air Force this morning were aimed at the north, according to the IDF.
President Isaac Herzog lauds Israelβs βdecisive actionβ against Hezbollah this morning, saying it is in line with the countryβs βduty to defend itself and its citizens against the threat of terrorism.β
βThis is once again an opportunity to express our gratitude and support for our daughters and sons in the Israel Defense Forces, as well as in the security, emergency, and rescue services, for their relentless efforts across all battlefronts,β Herzog writes on X.
βTheir immense sacrifices and personal costs in thwarting the malicious acts of our enemies and in defending the State of Israel and its citizens deserve our deepest thanks. I embrace all of them with deep gratitude,β he adds.
Afu Hezbullah anasema Israel ni waongo hakuna hata launcher walizo piga wamerusha 320+ Missiles tena nyingi zimepiga target π― katika camp 11 za Israel.ππππππππAisee leo nimesikitika sana hiii hiii hiii!?
ππππππSawa huwa unatudanganya Israel ila hii ya leo hapana baba hapana aisee dunia simama nishuke.
Fighter jets 100 kushambulia baadhi tu ya kambi katika kaeneo kadogo!??
πππππππππDunia ndio ione sasa kuwa ISRAEL IS THE NATION OF LIES AND FALSE INFORMATIONS.
Kwani uongo? Nyie si mna majini
Netanyau alishaapa magaid yote atayawahisha jehanamu wakapambe na bikra 72 na kuogelea kwenye mito ya pombe