Nimeshaleta taarifa kutoka reuters.Mkuu tupatie taarifa sahihi tafadhali
Siwezi post kila muda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshaleta taarifa kutoka reuters.Mkuu tupatie taarifa sahihi tafadhali
Mkuu embu kuwa serious.Ndege 100 kwa Israel kitu gani mzee. Mbona mwaka 1967 Israel iliharibu ndege zaidi ya 250 za Misri kwa usiku mmoja.
Israel ina fighters jets zaidi ya 270 na hapo hujagusia ndege nyingine kama AWACS, airlifters, tankers, trainers na drones. Bado hunagusia kandarasi waliyosaini kununua advanced F-15 fighters 50 na kufanya modernization ya F-15 zilizopo kwa dola bilioni $20.
Mkuu unajisikia unachoongea!?Sasa kuna ajabu gani kwenye kurusha ndege 100. Jeshi la anga la Israel halikaagi na unserviceable aircrafts kama ni upgrades au matengenezo yanafanyika haraka. Availability ratio yake ni kubwa sana na marubani wake wanaishi karibukaribu kasoro wachache wanaopishana likizo na wagonjwa. Ni suala la maandalizi ya masaa kadhaa ndege ziko angani.
Israel pale ina majirani wote maadui then unashangaa preparadness yao na fast reaction. Wewe unawalinganisha na nchi za wacheza ngoma hawana adui ndege imeharibika miaka 10 haitengenezwi maana miaka 20 iliyokuwepo ilikuwa imepaki.
Hujaelewa watu wanabishania nini mzeeeNdege 100 kwa Israel kitu gani mzee. Mbona mwaka 1967 Israel iliharibu ndege zaidi ya 250 za Misri kwa usiku mmoja.
Israel ina fighters jets zaidi ya 270 na hapo hujagusia ndege nyingine kama AWACS, airlifters, tankers, trainers na drones. Bado hunagusia kandarasi waliyosaini kununua advanced F-15 fighters 50 na kufanya modernization ya F-15 zilizopo kwa dola bilioni $20.
Adhabu kali na iumizayo nimeipenda hii kwakweliRipoti zinasema kuwa timu ya wizara ya usalama huko Israel imetakiwa kufanya mkutano wa dharura mapema leo asubuhi kutokana na hujuma huyo ya Hizullah ya kulipiza kisasi cha kamanda wake.
Harakati ya Hizbullah ya Lebanon iimesisitiza kuwa, iwapo raia wa Lebanon watadhurika "adui Mzayuni" itapewa adhabu kali na iumizayo
Ndege zaidi ya 250 za Egypt hazikuharibiwa na makombora, ziliharibiwa na mabomu yaliyodondoshwa na ndege za Israel kwenye anga la Misri. Na kwenye hiyo operation Israel ilitumia ndege nyingi zikidondosha mabomu zinarudi nyumbani haraka zinajaza mafuta na mabomu mengine kwa haraka iwezekanavyo maana ground crew ilikuwa na hiyo training zinaruka tena angani mamia ya kilometa kwenda Misri. Hiyo ni 1967 dhidi ya jeshi kubwa zaidi Middle East kipindi kile, sembuse 2024 dhidi ya Hezbollah.Mkuu embu kuwa serious.
Kinachoongelewa sio Israel kushindwa kumiliki ndege 100.
Kinachoongelewa ni Israel kurusha ndege 100 kwa wakati mmoja.
Hiyo Gaza imeharibiwa na ndege zisizozidi 20 halafu unataka uniambie ndege 100 ZISHAMBULIE KWA WAKATI MMOJA eneo dogo kama la Temeke Tandika!??
Embu kuwa serious mkuu.
Hata hizo ndege 200+ za Egypt zilizolipuliwa zilikua zimepaki airbase Israel ikarusha makombora na kuzilipua.
Scenario ni tofauti na hii ya kusema zimerushwa ndege 100 kwa WAKATI MMOJA.
Sasa kuharibu ndege 250 zilizopaki uwanjani kama utapeleka ndege zako 100 tu unaenda kujaza mafuta yanini tena mzeeeNdege zaidi ya 250 za Egypt hazikuharibiwa na makombora, ziliharibiwa na mabomu yaliyodondoshwa na ndege za Israel kwenye anga la Misri. Na kwenye hiyo operation Israel ilitumia ndege nyingi zikidondosha mabomu zinarudi nyumbani haraka zinajaza mafuta na mabomu mengine kwa haraka iwezekanavyo maana ground crew ilikuwa na hiyo training zinaruka tena angani mamia ya kilometa kwenda Misri. Hiyo ni 1967 dhidi ya jeshi kubwa zaidi Middle East kipindi kile, sembuse 2024 dhidi ya Hezbollah.
Hapa kwa israel kua namarafiki wengi waadui ilikua zamaniSasa kuna ajabu gani kwenye kurusha ndege 100. Jeshi la anga la Israel halikaagi na unserviceable aircrafts kama ni upgrades au matengenezo yanafanyika haraka. Availability ratio yake ni kubwa sana na marubani wake wanaishi karibukaribu kasoro wachache wanaopishana likizo na wagonjwa. Ni suala la maandalizi ya masaa kadhaa ndege ziko angani.
Israel pale ina majirani wote maadui then unashangaa preparadness yao na fast reaction. Wewe unawalinganisha na nchi za wacheza ngoma hawana adui ndege imeharibika miaka 10 haitengenezwi maana miaka 20 iliyokuwepo ilikuwa imepaki.
Aah kwahiyo mkuu unawafundisha kazi IAF si ndio. Ulitaka ndege ziwepo ngapi angani.Mkuu unajisikia unachoongea!?
Yani eneo dogo sawa na kitongoji lishambuliwe na ndege 100 kwa wakati mmoja!??
Try to be reasonable my friend.
Mkuu hauzungumzi na mtoto mdogo hapa.Aah kwahiyo mkuu unawafundisha kazi IAF si ndio. Ulitaka ndege ziwepo ngapi angani.
Iko hivi, wanarusha ndege nyingi zaidi kwa wakati mmoja ili adui awe overwhelmed na mashambulizi. Maroketi yalikuwa programmed kurushwa muda sawa ila Hezbollah wangeanza kuyafyatua mapema kama baadhi yake yangeanza kuharibiwa na ndege sijui mbili tatu angani.
Hivyo Israel ilitrack launching facilities ikataka izipige within few minutes kiasi kwamba muda wa kurespond na kufyatua lolote lililokuwa tiyari haupo.
Kama unafuatilia Hezbollah hawana maroketi yenye aiming kubwa, wao wanalenga uelekeo tu kisha wanafyatua kwa pamoja haraka haraka kisha wanakimbia ili baadae Israel ikishambulia launching sites wasiwepo eneo la tukio.
Israel ni mabingwa wa preemptive strike. Au na lile la Misri wangepeleka ndege tano tano waende kwa kuzubaa ili Misri irushe ndege zake angani. Ni kufumba na kufumbua huna chako.
Huko kote mie wala sina shida naye.Hapa kwa israel kua namarafiki wengi waadui ilikua zamani
Adui jordan anaesaidia kutungua drone na kombora alizotumiwa na iran kweli
Au adui misri anaesaidia kupitisha bidhaa zake baada ya kuzuiwa red sea na houthi?
God Bless Israel
Adui Jordan aligundua kwa maumivu makubwa kuwa Wapalestina hawadhaminiki. Bado Jordan ikagundua Waarabu wengine ni wanafiki wanataka kutoa msaada wa vyakula na dawa alafu wanaopigana wawe Jordan waumie. Anayetaka kuipiga Israel apeleke jeshi mwenyewe na humuoni. Sasa cha kufia nini.Hapa kwa israel kua namarafiki wengi waadui ilikua zamani
Adui jordan anaesaidia kutungua drone na kombora alizotumiwa na iran kweli
Au adui misri anaesaidia kupitisha bidhaa zake baada ya kuzuiwa red sea na houthi?
Okay sio ndege 100 ni ndege ngapi mkuu kulingana na briefings mlizofanya hapo Defence HQ ukiwa mmojawapo ya wajumbe.Mkuu hauzungumzi na mtoto mdogo hapa.
Unazungumza na mtu mzima.
Hilo tukio la preemptive ulosemea kwanza hakuna madhara yaliyoonekana,pili launching site za Hizbollah ziko palepale.
Mwisho ni kwamba huwezi kutumia ndege 100 kwa eneo dogo kama la kitongoji,tusidanganyane hapa.
Unajua mabomu ya ndege 100 yanaweza kuleta athari ukubwa gani!!??
Ukisemea ishu ya Egypt yalitumika makombora na ndege pia.
Yani danganya unavyodanganya ila huwezi ukarusha ndege 100 kwa wakati mmoja kulipua eneo dogo kama maji matitu.
Pia Hizbollah ndio walianza kushambulia kwa kutumia rocket za katyusha.
Ila wanazo precision guided missiles ambazo wanaweza kuzirusha popote Israel.
Umesoma taarifa waliyotoa Israel??Okay sio ndege 100 ni ndege ngapi mkuu kulingana na briefings mlizofanya hapo Defence HQ ukiwa mmojawapo ya wajumbe.
Maana unaonekana kujua sana kuliko waliofanya tukio wenyewe na kama unapinga taarifa yao toa ya kwako sahihi.
Alafu kitu kingine ambacho huzingatii, sio kila ndege ya Israel ikiwa angani kazi yake ni kushambulia. Nyingine ni monitoring, nyingine kutoa coordinates, nyingine nyingi ziko angani kushambulia rockets na missiles za adui zikiwa angani kusaidiana na mifumo ya ulinzi wa anga. Nenda hata YouTube kuna clips hata AH-64 Apache zinaharibu aerial targets. Wanarusha ndege nyingi kwa pamoja sababu rockets zingerushwa kwa pamoja.
Akili za wavaa vipedo, misuli na makobazi kazi kwelikweli. Wanao ushabiki wa Simba na Yanga 😂Mbona Ritz amesema ni Israel ndiye kapewa kichapo🤣🤣🤣🤣
Kuliko akili Za wavalishwa Pampers?Akili za wavaa vipedo, misuli na makobazi kazi kwelikweli. Wanao ushabiki wa Simba na Yanga 😂