IDF yaandika historia tena, ndege zake 100 zasambaratisha kambi za Hezbollah, walikuwa wanajiandaa kuishambulia Israel

Huyo alah angekuwa na nguvu Dunia yote ingekoma
 
Ndege 100 unazijua wewe? Naona mmeanza kuambukizwa uongo na hao magaidi ya IDF
Kwanza zinge gongana zenyewe, hivi huyu anazijua Jet Fighter kweli haswa F35, F15 na F16 kwa nchi kama Lebanon ndogo, tena sio Lebanon yote ni South Lebanon tu. Wanaogopa kufika Beiruti mjini sababu akigusa huko Tela Aviv wata tafutana.
 
HIZO PROPAGANDA ZA MAGAIDI WA ISRAEL
 
Kwanza zinge gongana zenyewe, hivi huyu anazijua Jet Fighter kweli haswa F35, F15 na F16 kwa nchi kama Lebanon ndogo, tena sio Lebanon yote ni South Lebanon tu. Wanaogopa kufika Beiruti mjini sababu akigusa huko Tela Aviv wata tafutana.
Hawajui uongo wa mwisraeli hawa . Kama mtu anakwambia Babu yake alikuwepo pale miaka 4000 iliyopita haushangai anapokwambia karusha ndege 100 kwa wakati mmoja.
 
Ndege 100 unazijua wewe? Naona mmeanza kuambukizwa uongo na hao magaidi ya IDF
Ndege 100 kwa Israel kitu gani mzee. Mbona mwaka 1967 Israel iliharibu ndege zaidi ya 250 za Misri kwa usiku mmoja.

Israel ina fighters jets zaidi ya 270 na hapo hujagusia ndege nyingine kama AWACS, airlifters, tankers, trainers na drones. Bado hunagusia kandarasi waliyosaini kununua advanced F-15 fighters 50 na kufanya modernization ya F-15 zilizopo kwa dola bilioni $20.
 
Ripoti zinasema kuwa timu ya wizara ya usalama huko Israel imetakiwa kufanya mkutano wa dharura mapema leo asubuhi kutokana na hujuma huyo ya Hizullah ya kulipiza kisasi cha kamanda wake.

Harakati ya Hizbullah ya Lebanon iimesisitiza kuwa, iwapo raia wa Lebanon watadhurika "adui Mzayuni" itapewa adhabu kali na iumizayo
 
Mimi mkristo lakini sikubali kudanganyika kirahisi hivyo. Nafuata itikadi za mwalimu Nyerere na Nelson Mandela Palestine lazima ipate Uhuru wake kutoka kwa wazayuni.
Safi sana mimi huwa nawambia wakristo humu, na marafiki zangu wakristo wengi tuna heshimiana nao sana, si wakristo wote wana akilia kama za Imeloa na mgeni 😄
 
Hapa tunaongelea opereshani ya kurusha ndege 100 kwa wakati mmoja mkuu.
 
Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa imeanzisha mashambulizi ya anga yanayoshirikisha idadi kubwa ya ndege zisizo na rubani (drone) kuelekea eneo la ndani la Israel.

Taarifa iliyotolewa na Hizbullah imesema, mashambulizi hayo ya anga yameanza kwa kulenga shabaha maalumu ya kijeshi ya Israeli ambayo itatangazwa baadaye na kuongeza kwamba, shambulio hilo linakuja ndani ya mfumo wa "jibu la awali kwa mauaji yaliyofanywa na Israel dhidi ya Kamanda Fuad Shukr.

Harakati hiyo imesema kuwa operesheni yake mpya imeanza "kwa shambulio la anga la idadi kubwa ya ndege zisizo na rubani kuelekea ndani ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni (Israel) na kulenga shabaha maalumu ya kijeshi ambayo itatangazwa baadaye."

Imesisitiza kwamba, sambamba na haya, "idadi ya maeneo ya adui, kambi na maeneo ya Iron Dome kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu vimelengwa kwa idadi kubwa ya makombora," na kwamba operesheni yake itachukua muda, na baada ya hapo itatoa taarifa kamili kuhusu mwenendo na malengo yao.
 
Hapa tunaongelea opereshani ya kurusha ndege 100 kwa wakati mmoja mkuu.
Sasa kuna ajabu gani kwenye kurusha ndege 100. Jeshi la anga la Israel halikaagi na unserviceable aircrafts kama ni upgrades au matengenezo yanafanyika haraka. Availability ratio yake ni kubwa sana na marubani wake wanaishi karibukaribu kasoro wachache wanaopishana likizo na wagonjwa. Ni suala la maandalizi ya masaa kadhaa ndege ziko angani.

Israel pale ina majirani wote maadui then unashangaa preparadness yao na fast reaction. Wewe unawalinganisha na nchi za wacheza ngoma hawana adui ndege imeharibika miaka 10 haitengenezwi maana miaka 20 iliyokuwepo ilikuwa imepaki.
 
Wewe ndiyo unambadilishia!?
Maana unajua hadi muda
Kumbe ndiyo kazi yako kutawaza wazee

Ndio nawabadilisha mapadri, hiyo ndiyo kazi yangu , hata huyo mchungaji wako nambadilisha . Kwani wewe unahitaji kubadilishwa, ?? nije nikubadilishe ?? hata vijana kama wewe nawatawazisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…