IDF yaandika historia tena, ndege zake 100 zasambaratisha kambi za Hezbollah, walikuwa wanajiandaa kuishambulia Israel

Allah ahangaiki na magaidi. Mwisho mtasingizia kawaacha
 
Wayahudi wanapigwa?
🤣🙌
Mara nyingi naona wanapigwa na kuchukua na kuyakalia maeneo kadha wa kadha
Unataka tukuletee ushahidi wa wayahudi kupigwa!???
Usisahau Northern Israel wayahudi takriban laki tati wamekimbia makazi yao kwa kuogopa mashambulizi toka Lebanon.
Usisahau pia mwaka huu Israel imepata wanajeshi walemavu wa kudumu zaidi ya elfu sabini elfu kumi na mbili kati yao wakiwa walemavu wa akili,na hizo ni athari za vita za Gaza.
Ukitaka ripoti nakuletea.
Israel sasa hivi ni miongoni mwa unsafe states to visit.
Hata bandari yao ya Eilat haifanyi kazi kwasababu ya meli zinazoenda hapo kuzuiliwa na Yemen kwenye bahari nyekundu.Ashukuru tu USA na UK wanampa unconditional support economically and politically.
 
Allah ahangaiki na magaidi. Mwisho mtasingizia kawaacha
Gaidi ni yule Israel na USA waliofadhili occupation na regime change middle east.
Usidhani watu hatuna elimu kuwa Israel kwa ufadhili wa USA ndio baba wa machafuko hapo mashariki ya kati.
Na ukitaka ushahidi nakuletea hapa.
Ongea facts sio mahaba yasiyo na hoja.
 
Nilimuonya ayatollah na namuonya Tena asijaribu au kupanga kumshambulia YAHUDI akijaribu na machuma chakavu yake yatamlipukia kwenye mikwabazi yake!💪 🔥🥵🔥
 
Zote hizi ni direct hit targets za hizbo tuu sijajumuisha hamas, westbank na kambi ya Iraq ili mujue waislam sio magaidi wazayuni ndio magaidi yenyewe waislam wanapiga kambi za jeshi tu na maeneo ya jeshi kwakua wanajua wataulizwa na mwenyewe muumba
We gaidi mwandamizi ile octoba 7 magaidi wezio walishambulia kambi ipi ya kijeshi?
 
Pumba.vu na kafiri mkubwa
Zote hizi ni direct hit targets za hizbo tuu sijajumuisha hamas, westbank na kambi ya Iraq ili mujue waislam sio magaidi wazayuni ndio magaidi yenyewe waislam wanapiga kambi za jeshi tu na maeneo ya jeshi kwakua wanajua wataulizwa na mwenyewe muumba
vu
 
Allah yupi unamzungumzia?
 
Mudi anakuongopeeni nyinyi nani aliwaambia mungu muislam[emoji3][emoji3]
 
Hata Israel Kuna Waislam acha udini!! Angalia uchangie kwa haki na sio ushabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…