IDF yafanya shambulio la ndege zisizo na rubani Lebanon, Muhammad Najam Kamanda mwandamizi Hezbollah’s auawa

IDF yafanya shambulio la ndege zisizo na rubani Lebanon, Muhammad Najam Kamanda mwandamizi Hezbollah’s auawa

Yaudi akipiga lazima asepe na kiongozi.

All in all haya mambo ifike mahali yafike tamati. Njia anazotumia Hamas na washirika wake zinaonekana wazi zimefeli, warudi tu mezani wamalize huu mzozo. Watu wanakufa asee.
Wote hao (Judaism and Islam) ni wazee wa jino kwa jino (agano la kale)... vita yao kwisha ni mbinde.. hawana mambo ya samehe 7*70 au akupigae shavu la kulia mpe na la kushoto (Christianity)... First born na Last born hao watapigana kwa muda mrefu sana.
 
Usitegemee kupata habari kutoka JF tu download app ya X zamani tweeter utaona mengi kwa sasa hiyo ndo habari ya mjini. Una habari Leo asubuhi Hezbollah wameichakaza vibaya sana Airbase ya Israel iliyopo Mount Meron huko kaskazini mwa Israeli?
View attachment 3077327
Sheikh nimeomba habar ya kuuwawa IDF 15 kule Gaza unaniletea mawaidha hii sio haki kabisa.
 
Dogo ww ni Ashki majununni nimekupuuza🙄😜
Naona Kigango kizima mmeshikwa na hasira sana na kuja kunivamia kisa nimesema Hezbollah wameichakaza Airbase ya Israel Leo asubuhi.sawa Haina shida ila tabu ipo pale pale
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kazi nzito kuwasaka na kuwapeleka jehanam magaidi wa Hezbollah inaendelea kwa kasi kubwa

Muda mfupi uliopita gaidi mwingine ameliwa kichwa na drone ya IDF akiwa kusini mwa Lebanon

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Soma Pia: Kiongozi Hezbollah kanda ya Kusini Lebanon wa kundi la Southern Front auawa na shambulio la ndege zisizo na rubani za IDF
============
IDF confirms south Lebanon strikes that killed 3 Hezbollah operatives involved in rocket attacks on Israel

The IDF confirms carrying out a drone strike in southern Lebanon’s Ayta al-Jabal (also known as Ayta ez-Zutt) earlier today, killing a prominent Hezbollah operative.

According to the military, Muhammad Najam was a prominent member of Hezbollah’s rocket and missile unit in southern Lebanon.

In a separate incident, the IDF says a Hezbollah operative who had launched rockets at the Yiftah area earlier today and was spotted at a building used by the terror group in southern Lebanon’s Mays al-Jabal, was killed in an airstrike.

Another Hezbollah operative who launched rockets at the Malkia area from southern Lebanon’s Aitaroun, was killed in a separate strike, the IDF says.
Mbona taarifa za uhakika zinaonyesha Ali Abd Ali kiongozi wa Hezbollah tawi la Kusini aliuwawa na kombola la Israel tarehe 3 August 2024?
 
Yaudi akipiga lazima asepe na kiongozi.

All in all haya mambo ifike mahali yafike tamati. Njia anazotumia Hamas na washirika wake zinaonekana wazi zimefeli, warudi tu mezani wamalize huu mzozo. Watu wanakufa asee.
Hujitambui! Sisi tunataka bikira wew unaleta story za kurudi mezani tena
 
Usitegemee kupata habari kutoka JF tu download app ya X zamani tweeter utaona mengi kwa sasa hiyo ndo habari ya mjini. Una habari Leo asubuhi Hezbollah wameichakaza vibaya sana Airbase ya Israel iliyopo Mount Meron huko kaskazini mwa Israeli?
View attachment 3077327
Sasa mlimani hapo kuna nini mbona wasishambulie Tel Aviv au Jerusalem tuone kama hawatapelekwa kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai.
 
Huku upande mwingine kiongozi mpya wa Hamas Yahya Sinwar amewataka Israel kumhakikishia usalama na uhai wake ili waweze ku negotiate any hostages deal sababu kwake suala la ‘necessary sacrifice’ hali apply.
magaidi siku zote ni wabinafsi, wanatanguliza watoto wa wenzao wafe wakiwadangaya wanapigana jihad huku wao wamejificha kwenye mashimo
 
Back
Top Bottom