IDF yafanya shambulio la ndege zisizo na rubani Lebanon, Muhammad Najam Kamanda mwandamizi Hezbollah’s auawa

Yaudi akipiga lazima asepe na kiongozi.

All in all haya mambo ifike mahali yafike tamati. Njia anazotumia Hamas na washirika wake zinaonekana wazi zimefeli, warudi tu mezani wamalize huu mzozo. Watu wanakufa asee.
Wote hao (Judaism and Islam) ni wazee wa jino kwa jino (agano la kale)... vita yao kwisha ni mbinde.. hawana mambo ya samehe 7*70 au akupigae shavu la kulia mpe na la kushoto (Christianity)... First born na Last born hao watapigana kwa muda mrefu sana.
 
Sheikh nimeomba habar ya kuuwawa IDF 15 kule Gaza unaniletea mawaidha hii sio haki kabisa.
 
Dogo ww ni Ashki majununni nimekupuuza🙄😜
Naona Kigango kizima mmeshikwa na hasira sana na kuja kunivamia kisa nimesema Hezbollah wameichakaza Airbase ya Israel Leo asubuhi.sawa Haina shida ila tabu ipo pale pale
 
Mbona taarifa za uhakika zinaonyesha Ali Abd Ali kiongozi wa Hezbollah tawi la Kusini aliuwawa na kombola la Israel tarehe 3 August 2024?
 
Yaudi akipiga lazima asepe na kiongozi.

All in all haya mambo ifike mahali yafike tamati. Njia anazotumia Hamas na washirika wake zinaonekana wazi zimefeli, warudi tu mezani wamalize huu mzozo. Watu wanakufa asee.
Hujitambui! Sisi tunataka bikira wew unaleta story za kurudi mezani tena
 
Sasa mlimani hapo kuna nini mbona wasishambulie Tel Aviv au Jerusalem tuone kama hawatapelekwa kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai.
 
Kobazi wa Ibadakuli na Ibinzamata hawapendi kusikia habari hizi
 
Huku upande mwingine kiongozi mpya wa Hamas Yahya Sinwar amewataka Israel kumhakikishia usalama na uhai wake ili waweze ku negotiate any hostages deal sababu kwake suala la ‘necessary sacrifice’ hali apply.
magaidi siku zote ni wabinafsi, wanatanguliza watoto wa wenzao wafe wakiwadangaya wanapigana jihad huku wao wamejificha kwenye mashimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…