IDF yafanya shambulizi kubwa Gaza alfajiri ya leo, wahanga 35, yaapa kuendelea na vita hadi Hamas iwasilishe majina ya mateka Israel watakaoachiwa

Israel Wamelazimishwa na Mmarekani Hilo deal ni kama wame surrender Kwa Hamas serikali imegawanyika sana.
 
Mtu msumbufu lazima umsulubu Sana ili vizazi na vizazi wasirudie upuuzi ule wa October 7
 
Israel Wamelazimishwa na Mmarekani Hilo deal ni kama wame surrender Kwa Hamas serikali imegawanyika sana.
Wamepewa kitu kizuri Marekani kaona malengo hayatimii na yasingetimia kweli pesa ingeteketea pale kila mwaka
 
Israhell chapa ayo magaidi mpaka viremba vipeperuke
Futa kabisa kizazi Cha washenzi hapo M.E
 
Anayajua vuzuri mabomu wanayopiga Israeli?
IDF walisema wenyewe wana miezi miwili bila kuwaona wapiganaji wa hamas hivyo walikua wanashambulia tu maeneo ya makazi kwa hisia zao tu au wakiona kifaru chao kimelipuka wana chakaza hilo eneo kwa mabomu akati hakuna hamasi eneo hilo.
Style ya mapigano ya hamas

1. Walitega mabomu njia zote ambazo IDF wanapita pamoja na Magofu baadhi yenye hali nzuri ya mtu kuingia.

2. Walitega camera kwenye Magofu na maeneo mbali mbali kisiri na kuunganisha mtandao wa kamera kwenye laptops na vifaa vyao kwenye tunnels,

3. Walirekodi live movement zote za IDF na kuona maeneno wanayopenda kutembelea hivyo walijua IDF wapo sehem gani na gani, hamas hawajawahi kupoteza network na umeme kipindi chote cha vita.

4. Waliamua kufanya ambushi muda sahihi baada ya kulipua vilipuzi walivyotega sehemu husika baada ya kujiridhisha idadi kubwa ya idf wameingia baada ya kulipua wao wanavamia chap hilo eneo na kumalizia kwa AK zao na kupisha uokozi kwa kuingia tunnels za karibu

5. Walirusha rockets kwenye kambi za muda zilizoanzishwa ndani ya gaza kama Netzarim axis kipindi idf wamerudi kupumzika

6.camera zao zilinasa vifaru na kuwasiliana na wapiganaji waliokaribu na location ya vifaru kufuzu kuvilipua kwa makombora ya Yasin huku camera zikiwa active

7. Kulikua na kikosi cha drones kushusha zilizowekana kuzifungua

8. Kikosi cha makombora kilikua na luncher za kawaida za mkono na makombora yalitengenezwa locally walikua wakihama hama kwakua idf walikua wanafanya shambulio la angani sehem luncher zilipokuwa zina fytulia, ndio maana oparation Hii ilisitishwa kwa muda.

9.Kulikua na oparation za visu na vifaa vya ncha kali kukata koromeo za IDF kwa kuvizia kutokea shimoni na maelekezo ya kikosi cha kamera yakitoa position na uelekeo wa IDF, probably Hii walijifunza kwa Hezbollah wanaiperfect sana Hii style

10. Hamas walikua na kikosi pia cha direct battle yaani kurushiana risasi direct mpaka kifo au kunusurika hasa kile Jenini West bank ndio mashujaa wa mziki huo.

All in All hatimae ceasefire imefikiwa huku hamas akifanikiwa kusajili wapiganaji elf 20. Ndani ya mwaka huu na idadi huenda ikaongezeka
 
Wajiandae vizuri ili kazi iendelee mpaka watambue nchi yao halisi iko wapi.
 
Wajiandae vizuri ili kazi iendelee mpaka watambue nchi yao halisi iko wapi.
Changamoto ya vita hivi ni mateso ya raia ndio yanayosababisha kupumzika Israel wananyanyasa raia ili hamas angalau wapunguze msimamo vinginevyo idf hawawezi hata kidogo kwanza ni vitoto vya af 2000 wengi ni 19-25 years
 
Changamoto ya vita hivi ni mateso ya raia ndio yanayosababisha kupumzika Israel wananyanyasa raia ili hamas angalau wapunguze msimamo vinginevyo idf hawawezi hata kidogo kwanza ni vitoto vya af 2000 wengi ni 19-25 years
Hiyo inaweza kuwa sababu moja.Nyingine ni kuwahifadhi na kujichanganya nao.Lazima wote wapate vipigo vikali.
 
Ila hawa magaidi uchokozi huwa wanaanza wenyewe..sasa kisa cha kuchelewesha hiyo orodha ya majina ya mateka ni nini kama sio uchokozi huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…