Anayajua vuzuri mabomu wanayopiga Israeli?
IDF walisema wenyewe wana miezi miwili bila kuwaona wapiganaji wa hamas hivyo walikua wanashambulia tu maeneo ya makazi kwa hisia zao tu au wakiona kifaru chao kimelipuka wana chakaza hilo eneo kwa mabomu akati hakuna hamasi eneo hilo.
Style ya mapigano ya hamas
1. Walitega mabomu njia zote ambazo IDF wanapita pamoja na Magofu baadhi yenye hali nzuri ya mtu kuingia.
2. Walitega camera kwenye Magofu na maeneo mbali mbali kisiri na kuunganisha mtandao wa kamera kwenye laptops na vifaa vyao kwenye tunnels,
3. Walirekodi live movement zote za IDF na kuona maeneno wanayopenda kutembelea hivyo walijua IDF wapo sehem gani na gani, hamas hawajawahi kupoteza network na umeme kipindi chote cha vita.
4. Waliamua kufanya ambushi muda sahihi baada ya kulipua vilipuzi walivyotega sehemu husika baada ya kujiridhisha idadi kubwa ya idf wameingia baada ya kulipua wao wanavamia chap hilo eneo na kumalizia kwa AK zao na kupisha uokozi kwa kuingia tunnels za karibu
5. Walirusha rockets kwenye kambi za muda zilizoanzishwa ndani ya gaza kama Netzarim axis kipindi idf wamerudi kupumzika
6.camera zao zilinasa vifaru na kuwasiliana na wapiganaji waliokaribu na location ya vifaru kufuzu kuvilipua kwa makombora ya Yasin huku camera zikiwa active
7. Kulikua na kikosi cha drones kushusha zilizowekana kuzifungua
8. Kikosi cha makombora kilikua na luncher za kawaida za mkono na makombora yalitengenezwa locally walikua wakihama hama kwakua idf walikua wanafanya shambulio la angani sehem luncher zilipokuwa zina fytulia, ndio maana oparation Hii ilisitishwa kwa muda.
9.Kulikua na oparation za visu na vifaa vya ncha kali kukata koromeo za IDF kwa kuvizia kutokea shimoni na maelekezo ya kikosi cha kamera yakitoa position na uelekeo wa IDF, probably Hii walijifunza kwa Hezbollah wanaiperfect sana Hii style
10. Hamas walikua na kikosi pia cha direct battle yaani kurushiana risasi direct mpaka kifo au kunusurika hasa kile Jenini West bank ndio mashujaa wa mziki huo.
All in All hatimae ceasefire imefikiwa huku hamas akifanikiwa kusajili wapiganaji elf 20. Ndani ya mwaka huu na idadi huenda ikaongezeka