IDF yagundua handaki na ofisi ya kijeshi chini ya makaburi

Tumechelewa sana yaani tumechelewa mno tulipaswa kufanya mapema kuwafuta hawa magaidi wa kiislamu
 
Wenye handaki wako wapi
 
Na hizi taarifa umezipata kutoka vyanzo vya Israel bhasi sawa
 
Tukiachana na mihemuko Netanyahu yupo sahihi kuendelea na vita badala ya ceasefire, huko Gaza.
Ni bora mateka waendelee kushikiliwa lakini magaidi wa Hamas wasiendelee kutawala Gaza. Gaza isiwe tena"safe haven "kwa magaidi 🤔
 
Acha kuwaza kama mwendawazimu. Kitu pekee kitakacho ipa Israel amani ya kudumu ni palestina kupata uhuru wake kamili. Amani haipatikani kwa kutumia nguvu bali ni kwa kutenda haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…