Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Palestine ipate uhuru kwa gharama ya Israeli kuachia nchi yake? Hiyo Gaza Ingawa si eneo lao, Israel imewaachia 🤔Acha kuwaza kama mwendawazimu. Kitu pekee kitakacho ipa Israel amani ya kudumu ni palestina kupata uhuru wake kamili. Amani haipatikani kwa kutumia nguvu bali ni kwa kutenda haki