Jackal JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 9,971 Reaction score 13,608 Jan 31, 2024 #41 mangichogo said: Acha kuwaza kama mwendawazimu. Kitu pekee kitakacho ipa Israel amani ya kudumu ni palestina kupata uhuru wake kamili. Amani haipatikani kwa kutumia nguvu bali ni kwa kutenda haki Click to expand... Palestine ipate uhuru kwa gharama ya Israeli kuachia nchi yake? Hiyo Gaza Ingawa si eneo lao, Israel imewaachia 🤔
mangichogo said: Acha kuwaza kama mwendawazimu. Kitu pekee kitakacho ipa Israel amani ya kudumu ni palestina kupata uhuru wake kamili. Amani haipatikani kwa kutumia nguvu bali ni kwa kutenda haki Click to expand... Palestine ipate uhuru kwa gharama ya Israeli kuachia nchi yake? Hiyo Gaza Ingawa si eneo lao, Israel imewaachia 🤔
M mangichogo JF-Expert Member Joined Oct 30, 2023 Posts 837 Reaction score 1,482 Jan 31, 2024 #42 Jackal said: Palestine ipate uhuru kwa gharama ya Israeli kuachia nchi yake? Hiyo Gaza Ingawa si eneo lao, Israel imewaachia 🤔 Click to expand... Isiongee kama mlevi wa gongo, toa ushaidi gaza ni eneo la Israel
Jackal said: Palestine ipate uhuru kwa gharama ya Israeli kuachia nchi yake? Hiyo Gaza Ingawa si eneo lao, Israel imewaachia 🤔 Click to expand... Isiongee kama mlevi wa gongo, toa ushaidi gaza ni eneo la Israel