IDF nao huwa wanaugua magonjwa mbalimbali au kujeruhiwa, IDF baadhi yao wanao watoto huko watokako, IDF wanao wazazi wao wazee, IDF wamezaliwa na wanawake na pia wanao dada/shangazi zao huko watokako. IDF kama binadamu wanajali pia UHAI. Hawatakubaliana na hoja yako hapo - eti No Mercy.
Kwa mantiki hiyo, unless mtu akatae mwenyewe kwa hiari kuhamishiwa Hospitali nyingine e.g. disguised HAMAS members na Wenaowania mabikra 72 na mito ya pombe; basi hapo IDF hana namna nyingine ya kumsaidia. Atajumlishwa kwenye kipondo.