The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Yaaani muuaji akitoa taarifa kuwa atakuja kuua hivyo watoto waondoke ndio anahitaji kusifiwa?Always Israel ana stick kwenye plan yake; hataki kuua raia, kafanya hivo Gaza, Yemen, kafanya hivo pia Lebanoni, na anafanya hivo Iran as well; tena anatumia lugha inayoeleweka na wenyeji; what a humanity. Sina hakika kama nimewahi kusikia jeshi lingine linafanya hivi popote duniani.
Vita ni mauaji sio uumbaji kaka, vita sio sherehee, ni kuua na kuana. Mara zote Israel or IDF inakwepa sana kuua raia; Israel hana historia y kushambulia au kuvamia sehemu bila kuchokozwaYaaani muuaji akitoa taarifa kuwa atakuja kuua hivyo watoto waondoke ndio anahitaji kusifiwa?
Ndio maana.mnawasoma kwenye Biblia km mfano wa binadamu boraAlways Israel ana stick kwenye plan yake; hataki kuua raia, kafanya hivo Gaza, Yemen, kafanya hivo pia Lebanoni, na anafanya hivo Iran as well; tena anatumia lugha inayoeleweka na wenyeji; what a humanity. Sina hakika kama nimewahi kusikia jeshi lingine linafanya hivi popote duniani.
Yaaani muuaji akitoa taarifa kuwa atakuja kuua hivyo watoto waondoke ndio anahitaji kusifiwa?