IDF yasambaratisha kwa makombora jengo la ghorofa 8 Beiruti huku ikidaiwa mlengwa alikuwa kiongozi mkuu mpya Hezbollah Naim Qassem!

Ndugu yangu usidanganyika. Hao wanaosema watamkamata Netanyahu, wanawazuga waafrika wenye akili ndogo.

Hiyo mahakama ya ICC toka kuanzishwa kwake iliwalenga watawala waafrika wanaowaua wananchi wao kwaajili ya tamaa za madaraka.

Netanyahu hatakamatwa na yeyote. Vita ikikoma utaanza kuyasikia hayo mataifa kuwa yamefuta hizo kauli. Si ajabu baadhi ya mataifa hayo yametoa hizo kauli baada ya kuwasiliana na Netanyahu.
 
Alhamdulillah wamewakosa pamoja na kusambaza jengo. Pale sio gaza ambapo mmezuia vitu kuingia Lebanon mtakimbia na chupi tu mtake msitake wajomba hawana haraka Iran kawachangishia hela na dhahabu wao kazi yao ni kipigo tu kwa zayuni
 
Wazungu wanafiki mno yaani haingii akilini Ukraine watete kwa nguvu zote kuliko Israhell hio haipo ni usanii tu unachezwa hapa. Huyu bibi atauawa na Hezbollah wenyewe. Au hamas hili halina mjadala n litatokea tu kuna siku atajichanganya kwenye mfumo wa watu
 
Ulivyo ms3ng hujui kuwa yote yamesababishwa na kung'ang'ania raia kuwafanya mateka , kwenye vita mwanajeshi ndo anawekwa mateka na sio Rai ila kwenu mnaona sw tu ila Israel akijibu mapigo , yeye ndo mbaya
 
Kwan vita waarab vs Bibi au Waarab vs Wayaudi ? Bado hamjui mnachotaka ndio maana matajiri wanatumiq dini yenu kuunda vikundi vya kihuni kuiba maliasili zenu sababu nyiny ni wajinga
 
Kwan vita waarab vs Bibi au Waarab vs Wayaudi ? Bado hamjui mnachotaka ndio maana matajiri wanatumiq dini yenu kuunda vikundi vya kihuni kuiba maliasili zenu sababu nyiny ni wajinga
Kwahio mimi sijui vita ni ya nani na nani? Unaona sawa watu kuibiwa ardhi na maliasili zao? Dini yetu haitachezewa hata siku moja watachezewa baadhi ya waarabu wanaopenda dunia na mali zaidi ya mwenyezi Mungu. Dini yenu ndio inayo chezewa kipengele cha kupumuliana kikeshapenyezwa subiri uje umuozeshe kijana wako au mjukuu kwa jemba la kiyahudi
 
Nimejiuliza Kuwauwa Viongozi wa Hamas na Hizbollah kunaifanya Israel iwe salama???? Kumeleta mateka wangapi?? Nentenyau ni mtu mpuuzi sana sijawahi kuona kumbe waweza kuwa na maslaha pesa but very stupid and useless!!!

Kama wana Intelligence nzuri kwanini hawajui mateka walipo??? Kwanini sasa kageuka anasema kila mtu atamlipia dola mil 5?? Si angeacha kuua watu alioua mwanzo kwa laana ili tu maongezi yafanyike mateka ambao wana ndg zao wanaomlilia waachiwe,m??? Jamaa mpuuzi sana...Sasa kama umepigana mwaka na hushindi wewe mjinga!!!
 
Lile jengo lilishuka kama dafu.
Halafu juzi nilikuwa namsoma mchunguzi fulani miongoni mwa walioena Lebanon kufuatilia huo mgogoro, alisema kwa sasa Hezibollah imesambaritika kwa kuwa haipo tena chini ya controll yoyote na kiongozi wao wa sasa hana sauti, kuweza ku control na hana muda mrefu atakuwa ameshauawa.
 
Namwombea kifo kibaya sana Netanyahu na jeshi lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…