IDF yavamia hospital ya Kamal Adwan Gaza, 240 wakamatwa akiwemo mkurugenzi pamoja na magaidi 15 wahusika shambulizi la 7/10/2023, silaha zakamatwa

Hapana, kuna tofauti kubwa. Utafanyaje na wachokozi wanaopenda mauaji kuliko uhai.
kama upo logical labda tujiulize why are they attacking/resisting
 
Pita huko; njia yako kulee!
 
God bless Israel
 
Acha roho mbaya aisee....Kila binadamu anastahili uhuru
 
Kama hujui ukisoma.maandiko waisrael walikosea maelekezo kutoka kwamungu kuhusu kuwaangamiza maadui zao hivyo waanza kuwaonea huruma nakutowaangamiza hivyo.mungu aliwaraani nakuwaambia hapo mliowabakisha ninge' ambao watakuwa wanawauma mpaka mwisho wadunia.
 
Kungekuwa na Hamas pale tena wengi IDF ikafanyenini hospital zaid wangewashushia boom watafutane week nzima. Awa IDF wakitaka kufanya mishem yoyote wanakwenda na plan 2 moja kuokoa mateka ikiwa wamepata ata mmoja 2 wakikosa wanakuja plan B kulikuwa na HAMAS wengi waliweka kijiwe Chao pale hospital IDF mishen yoyote ikiwa yakufanana na hiii inakuwa ni kuusu Mateka sio Hamas lkn wanajiandaa kupambana na Hamas ktk uwokoaji wao. Sasa akukuwa na Mateka wala awakupata upinzani lkn imebidi wafate plan B ijulikane ni Hamas. Ndiomana mazoba wanawasifia eti wana high intel polen bule.
 
Ayo maandiko yalisema waisrael watatoka ulaya au wapi tuanzie apo!!
 
Wabongo bwana, unaisifia intellejensia ya Israeli dhidi ya Hamas na Hizbollah au eneo la mashariki ya kati ambako maeneo mengi hakuna amani wala serikali hazifiki.

Unaisifia intelejensia dhidi ya vikundi vya kikaidi na nchi ambazo haziko stable na mataifa ambayo watu wanafananafanana Kwa maana ya race zao hazitofautiani sana.

Unaisifia intelejensia kwenye maeneo ambayo Kuna vikundi viiiingi hasimu ambavyo vinaweza kukupa taarifa za upande wa pili au hata kununua watu kama informer wako kifupi eneo ambalo unaweza ukacomprise utakavyo na watu wengi.

Pale Beirut kupata taarifa za Hizbollah ni nani kawaambia ni kazi ngumu ambayo inahitaji akili nyiiingi na utalamu wa hali ya juu, pale Beirut pamejaa majasusi wa Mossad ambao ni informers miaka nenda rudi, pale Beirut kuna mahasimu wengi wa Hizbollah miaka nenda rudi amabao unaweza kucompromise nao wakakupa taarifa.

Tunasema unaintelejensia nzuri pale unapofanya ujasusi dhidi ya mataifa yaliyo stable kama China, Russia, Germany, UK, USA, North Korea, Japan, nk.
 
Huu ni uongo mkubwa,kama mnaowaita magaidi wamekamatwa mbona idf hawafanikiwi kuwakamatavmateka?
 
Hebrew media:






Hamas has targeted Israel's capital again after 500 days, and this is worrying.
 
Yaani mtu aje apo kwenu awe baba alale chumbani Kwa mamaako,? Watoto mjengewe ka tent apo nje hamna kutoka bila ruhusa ya baba? Wew utakubali Hilo?
 
Jifunze Kiswahili kwanza. Awajui=hawajui; awa=hawa; akuna=hakuna; etc jifunze matumizi ya h
 
Yaani mtu aje apo kwenu awe baba alale chumbani Kwa mamaako,? Watoto mjengewe ka tent apo nje hamna kutoka bila ruhusa ya baba? Wew utakubali Hilo?
Hivi mashabiki wa Hamas Mbona Kiswahili mgogoro! Neno ni hapo
 
Hakuna aliyewaza Nasrallah angekuwa eliminated the way he was eliminated! That event marked the beginning of the end of terrorists regime in middle east.
We don't call it terrorism its called resistance and resistance will never end for the deaths of Hassan, many have died and will die. You will never rest in the accupied land, you will never have peace. Terrors ni mazayuni Dunia yote imeona kuchoma moto mtoto huo ndio ugaid wenyewe
 
Hivi mashabiki wa Hamas Mbona Kiswahili mgogoro! Neno ni hapo
Sio mshabiki wa hamas mimi ni mshabiki wa haki na ukweli na aman Hata wewe ukija kubakwa au kulawitiwa nitasimama na wewe kutetea haki zako
 
Yaani mtu aje apo kwenu awe baba alale chumbani Kwa mamaako,? Watoto mjengewe ka tent apo nje hamna kutoka bila ruhusa ya baba? Wew utakubali Hilo?
Kamwe hilo halikubaliki. Ndo maana napinga wapalestina kujitwalia nchi ya wayahudi na kusema ni nchi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…