IDF yawaua Fahmi Salami na Salah Dahman ambao makamanda waandamizi wa Hamas waliohusika na shambulizi la Oktoba 7, 2023

Sikh ni Monotheistic Religion, Sikh wanaamini WAHEGURU ni MMOJA TU ndie anayetakiwa kuabudiwa.

incharge ile hoja yako naona nimeijibu.
 
Kama alivyo mpa mtihani Yesu akatundikwa msalabani kwa ajili wewena wajinga wezako muende peponi 🤣
Si mnasema Yesu wa Bibilia sio Isa wa Quruani sasa kwanini tena kila saa mnamuongelea kwanini msimuongelee huyo Isa?
 
Ukiangalia kwa hali ya kawaida tu ng'ombe hawezi kuwa mungu, kuna vitu kwa akili ya kawaida tu unaona huu ni uongo, ila torati, injili, zaburi, na quran ni vitabu vya mungu bila ya shaka yoyote
Injili ya Yesu sio ya huyo mkosa nyumba alishia kwenye njia panda akadai kakutana na Yesu. Afu Paulo alikuwa muongo sana. Anasema kakutana na Yesu barabarani kaleta vitabu sijui vingapi + new edition hahaha

Kumuona Yesu hakumuona yeye na wezake waliota shetani. Tazama mafunzo ya Yesu na Paulo hayafanani hata siku moja.
 
Aisee...😂
We una matatizo ya kiakili unakubali Yesu kuitwa Jesus na unakataa Yesu kuitwa Issa. Jesus ni kizungu na Issa ni kiarabu sa we ulitaka warabu wamuite Yesu ni Jesus 🤣

Vipi John aitwe Yohana hi ndio ajabu sio Jesus kuitwa Issa sababu kila mmoja ana lugha yake. Hio ya John kuwa Yohana vipi hapo.
 
Kama ni kweli; sasa inakuwaje wanaingia kwenye mashimo (mahandaki) kama nungunungu au ngiri??
 
Kama ni kweli; sasa inakuwaje wanaingia kwenye mashimo (mahandaki) kama nungunungu au ngiri??
Vita ni skills we unapigana na watu wana air force, vifaru na support za mataifa mbali mbali, ulitaka wawambie njooni mtu-uwe. Labda awe kichaa kama wewe ndio atapigana bila akili kama zako.
 
Vita ni skills we unapigana na watu wana air force, vifaru na support za mataifa mbali mbali, ulitaka wawambie njooni mtu-uwe. Labda awe kichaa kama wewe ndio atapigana bila akili kama zako.
Akili gani ya kuogopa kufa?? Si umesema hawaogopi kufa? Bhana semaga ukweli tuu kwamba nao huwa Wanaogopa kufa.
 
dudus njoo huku jamaa wamegeuka tena wanasema Yesu Biblia ni Isa wa Kisunni.
Dah! Waelimishwe kwamba Yesu wa kwenye Biblia alizaliwa pangoni Bethlehemu ilhali Yesu au Isa wa kwenye Quran alizaliwa chini ya mti wa mtende. Hao ni watu wawili tofauti kabisa.
 
dudus njoo huku jamaa wamegeuka tena wanasema Yesu Biblia ni Isa wa Kisunni.
Hao ni manafiki; wanaelea na upepo unavyokwenda. Leo atakwambia Issa ndiye Yesu; kesho ataongea tofauti. Ni waongo sawa sawa na baba yao maana kizazi cha nyoka ni nyoka.
 
Akili gani ya kuogopa kufa?? Si umesema hawaogopi kufa? Bhana semaga ukweli tuu kwamba nao huwa Wanaogopa kufa.
We unajua nilicho ongea mimi au unakimbilia kujibu bila kuelewa nilicho ongea afu unajita una akili, labda akili za kutembea na mavi huku umepiga fullsuit.

Nilicho ongea kufa kwa Natural death sio kujipeleka ufe. Hivi jeshi la Tanzania wapigane na Rwanda au Uganda watawambia njooni mniuwe haha. Wewe hujui nini vita na hujui nini Natural death.

Mimi nasema vijana wa Hamasi wanao pigana vita wakifa ni watu wa peponi. Lakini sio wale wanao wambia Israel njooni mniuwe huyo anahesabika kajiua ni wa motoni tu.
 
Kwahiyo Allah ndie anayetaka mpigwe huko Gaza na Lebanon? Sasa huyo Allah ambaye hana msaada wowote kwenu wa nini sasa?!

Allah kama anauwezo kwanini asimzuie Netanyahu?!

kwani hao wayahudi walipokuwa wakipigwa europe huyo mungu wako wewe alikuwepo wapo ???
 
Si mnasema Yesu wa Bibilia sio Isa wa Quruani sasa kwanini tena kila saa mnamuongelea kwanini msimuongelee huyo Isa?



Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.

Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.

Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu.

Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia. Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nani?
 
Nimetoa mifano mingi sana kwenye hii hoja hebu rudia malumbano yetu na Adiosamigo.

Mpaka kufikia kusema kama Uyahudi na Ukristo ungekuwa hauko uislamu usingekuwepo kwasababu wangekosa cha kukopi na kudai Mohamed ni Mtume wa mwisho.


 
Mayahudi yameua viongozi wetu vipenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…