IDF yawaua Fahmi Salami na Salah Dahman ambao makamanda waandamizi wa Hamas waliohusika na shambulizi la Oktoba 7, 2023

IDF yawaua Fahmi Salami na Salah Dahman ambao makamanda waandamizi wa Hamas waliohusika na shambulizi la Oktoba 7, 2023

Jesus wa biblia na Quran tunaweza kusema ni tofauti kwani Jesus wa biblia kwa mujibu wa biblia ametokana na uzao wa kizazi cha zinaa , na biblia imesema mtu anayetokana na kizazi cha zinaa hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu
Sio kwamba ukikopi unapindisha kidogo ili copyright laws zisikushike?
 
Jesus wa biblia na Quran tunaweza kusema ni tofauti kwani Jesus wa biblia kwa mujibu wa biblia ametokana na uzao wa kizazi cha zinaa , na biblia imesema mtu anayetokana na kizazi cha zinaa hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu
Now you're talking. Let's maintain that consistency badala leo inaongelewa hivi; kesho muktadha ule ule wa jana unabadilishwa kukidhi mahitaji wakati huo mostly malicious!
 
Kwenye hayo maneno yako hujaleta ushahidi wa Aya hata moja kutoka biblia wala Quran kuthibitisha maneno yako
Nimetoa mifano mingi sana kwenye hii hoja hebu rudia malumbano yetu na Adiosamigo.

Mpaka kufikia kusema kama Uyahudi na Ukristo ungekuwa hauko uislamu usingekuwepo kwasababu wangekosa cha kukopi na kudai Mohamed ni Mtume wa mwisho.
 
Ndiyo Aya ya biblia hiyo umeleta, iliyokopiwa kwenye Quran ?
 
Ndiyo Aya ya biblia hiyo umeleta, iliyokopiwa kwenye Quran ?
Aya zanini wakati hata characters za kwenye Bibilia mfano Moses na Aron, wakawa Musa na Haruna, Jesus na Mary wakawa Issa na Mariamu.

Tuongelee hata characters tu bila hata aya. Biblia ingekuwa imekuja later yaani Karne ya Saba tungesema Biblia imekopi Quruani.
 
Ndiyo Aya ya biblia hiyo umeleta, iliyokopiwa kwenye Quran ?
Huyo hata mimi kashindwa ni jibu, anapenda story nyingi afu ukimnasa anakuja na swali lingine 😆 😂

Any way sijui kama atajibu maswali yako, yeye ndio atakuletea story ingine.
 
Aya zanini wakati hata characters za kwenye Bibilia mfano Moses na Aron wakawa Musa na Haruna Jesus na Mary wakawa Issa na Mariamu.

Tuongelee hata characters tu bila hata aya. Biblia ingekuwa imekuja later yaani Karne ya Saba tungesema Biblia imekopi Quruani.
Kicha kweli wewe, kwa hio Yesu asiwe Jesus sababu Yesu ni mswahili na Jesus ni Mzungu.

We unajua kwa lugha ya Amharic Yesu anaitwa nani?
 
Aya zanini wakati hata characters za kwenye Bibilia mfano Moses na Aron, wakawa Musa na Haruna, Jesus na Mary wakawa Issa na Mariamu.

Tuongelee hata characters tu bila hata aya. Biblia ingekuwa imekuja later yaani Karne ya Saba tungesema Biblia imekopi Quruani.
Ndiyo umeleta ushahidi mwengine wa Aya iliyokopiwa kwenye biblia?
 
Ndiyo umeleta ushahidi mwengine wa Aya iliyokopiwa kwenye biblia?
Hata Malaika wa kwenye Bibilia pia wamekopiwa kwamfano Gabriel kawa jibriil, Michael baada ya kukopiwa kawa Mikaiil.

Hakuna cha haja ya Aya vitu viko wazi.
 
Hata Malaika wa kwenye Bibilia pia wamekopiwa kwamfano Gabriel kawa jibriil, Michael baada ya kukopiwa kawa Mikaiil.

Hakuna cha haja ya Aya vitu viko wazi.
Ulitaka Mungu awaite majina gani? Mtume Muhammad alisha wambia yeye ndio Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu. Nyie msubirini Yesu na Yahudi wacha wamsubiri Massiah wao😄 🤣 Hawatakuja mtakufa na wajukuu zenu watakufa Yesu harudi na Massiah wanao mtegemea Wayahudi haji.

Uislam ndio dini ya haki.
 
Wewe unajua hizo hadithi nyingi sana mnazo sema za kislam ni za kiyahudi mfano huu aliye pindua Syria huyu ni Myahudi kabadilisha ID yake tu kujidai mwarabu. Hebu soma uone vipi Myahudi anavyo poteza watu. Unaweza kudhani huyu Golan ni Muislam kumbe ni Myahudi 😄 🤣
Huyo Eli Cohen alitisha sana.
Ila kiukweli wayahudi kwenye mambo ya espionage wako vizuri.
Wako tayari hata kujifanya ni waislam au wakristo kwenye ishu nzima ya deception.
 
Hayo ya kwenye Bibilia ndio orijinoo hayo ya kwenu ni Copy.
Paulo nani aliye mpa Utume? Ukristo umeletwa na nani? Qur'an haifanani hata siku moja na Bibilia sababu Bibilia sio kitabu cha Mungu vitabu vya Mungu vinaitwa Zaburi, Injil, Taurati na Qur'an.

Ukiweza kuniambia nani kampa Utume Paulo, na wapi imeandikwa Bibilia ni kitabu cha Mungu na nani aliye leta ukristo ta sema una akili, lakini najua wazi huwezi jibu hayo maswali mpaa utazikwa.

Kwa hio kwa tafsiri yako John hawezi kuitwa Yohana si we unasema hayafanani, unasema Yesu hawezi kuitwa Issa, wakati kwa ki Aramaic jina lake limefanana na likiarabu kuliko mengine anaitwa Iyesus.

Hivi kwanini John the Baptist. mnamuita Yohana mbatizaji? Kama mnadai Qur'an imebadili jina la Yesu na kumuita Issa. Vipi kuhusu bibilia hapo ibadilishe jina la John na kuwa Yohana hahahaha 😆 😂
 
Back
Top Bottom