imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Sio kwamba ukikopi unapindisha kidogo ili copyright laws zisikushike?Jesus wa biblia na Quran tunaweza kusema ni tofauti kwani Jesus wa biblia kwa mujibu wa biblia ametokana na uzao wa kizazi cha zinaa , na biblia imesema mtu anayetokana na kizazi cha zinaa hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu