IDF yawaua Fahmi Salami na Salah Dahman ambao makamanda waandamizi wa Hamas waliohusika na shambulizi la Oktoba 7, 2023

IDF yawaua Fahmi Salami na Salah Dahman ambao makamanda waandamizi wa Hamas waliohusika na shambulizi la Oktoba 7, 2023

Utajua wewe lakini Point yako kuwa Mwanadamu bila Dini ni Mnyama nikakwambia mbona wale wasiokua na Dini hawachinji wenzao kama nyie halafu unanirudisha kulekule kwenye Sura na Quruani.

Naona tutakesha humu.
Wewe unajua hizo hadithi nyingi sana mnazo sema za kislam ni za kiyahudi mfano huu aliye pindua Syria huyu ni Myahudi kabadilisha ID yake tu kujidai mwarabu. Hebu soma uone vipi Myahudi anavyo poteza watu. Unaweza kudhani huyu Golan ni Muislam kumbe ni Myahudi 😄 🤣
 
Kujulikana kinajulikana lakini kina utafauti mkubwa kati ya kilivyotajwa kwenye biblia na kwenye Quran
Story za Jesus imekopiwa na kuwa Story ya Issa

Story ya Moses imekopiwa na kuwa ya Musa.

Story nyingi zimekopiwa na kubadilishwa kidogo ili kumchangaya msomaji.

BILA YA UYAHUDI NA UKRISTO KUSINGEKUWEPO NA UISILAMU.
 
Mimi nimeisha kuambia Qur'an imetoa challenge miaka 1448 sasa hakuna aliye jaribu kutoa Surah yenye nusu mstari . Afu unaleta propoganda zako. Qur'an wapi na Injil wapi, Qur'an wapi na Taurati wapi. Kwanza Paulo ndiye aliechafua injil na Taurati. Hakuna kitabu cha Yesu au cha Mussa, nyie mnavitabu vya Paulo ambayo ni magazeti, kila kukicha kuna toleo jipya, nani anawaletea ujumbe kutoka kwa Mungu hahaha. Qur'an ni level ingine kabisa

Nyie mnasema Yesu atarudi wapi Qur'an imesema Yesu atarudi? Qur'an inawambia Yesu kazaliwa kama vile Adam hana baba nyie mnasema Yesu ni mtoto wa Mungu.

Qur'an inasema Yesu kisha kufa harudi huyo, nyie mnasema atarudi nani atamrudisha? Nyie mnasema Mungu yuko mbinguni Qur'an inasema Mungu ndio kaziumba sa we jiulize kabla ya kuziumba mbingu alikuwa wapi? Tukiwambia nyie vichaa mnabisha.

Qur'an inasema Mungu hawezi kuwa na mtoto kwa sababu ni mtakatifu, nyie mnasema Yesu mwanae tena mlivyo kuwa hamna adabu mnasema Yesu kazaliwa kwenye zizi la ngo'mbe.

Qur'an ina sema hakuna mtu atamuona Mungu sio Yesu sio Mussa sio Muhammad nyie mnasema mmemuona Mungu hahaha eti alikuja na umbo la kibinadamu 1=3 Shenzi type.

Qur'an Inasema Wayahudi wamelaniwa nyie mnasema vipenzi vya Mungu hahaha.

Naweza kuendelea hapa hata siku tatu kutofautisha kati ya Qur'an na hizo bibilia zenu na Taurati zenu. Kufananisha Qur'an na hivyo vitabu ni kama mbingu na ardhi.

Mimi nakusudia hizo bibilia zenu sio Injili ya Yesu na sio Taurati ya Mussa ambazo hazipo mlisha ficha au kuvipoteza kabisa.

Kwanza Mtume Muhammad alipo kuja kulikuwa hakuna injili ya Yesu, wala Taurati ya Mussa, mlisha zivuruga. Swali wapi Mtume Muhammad ka copy bibilia ya Paulo na wenzake.

Mtume Muhammad alikuwa hajui kusoma, dalili ipo kwenye Qur'an alifundishwa na Gabriel. Dalili hi hapa Surah Iqra.

View: https://youtu.be/w1FcMvmFrGk?si=_oh16tg55mwBmW7J
 
God bless Israel
PRAISE TO JESUS NETANYAHU BARIKIWA SANA namana wakipata nguvu hawo makafiri watatufundisha njia iliopotoka ya kusuburia bikira 72 na mito ya pombe Ahsante YESU
 
Story za Jesus imekopiwa na kuwa Story ya Issa

Story ya Moses imekopiwa na kuwa ya Musa.

Story nyingi zimekopiwa na kubadilishwa kidogo ili kumchangaya msomaji.

BILA YA UYAHUDI NA UKRISTO KUSINGEKUWEPO NA UISILAMU.
Barikiwa pia na ww mtumishi wa YESU
 
Swali we utaishi milele? Sa kufa ni kawaida je mateka wamerudi? Je vita Gaza imeisha
Sheikh wangu tuliteka wangapi? Na wao wameua wangapi na kuharibu kabisa Gaza yetu? Hali yetu na hasara yetu ni kubwa sheikh wangu. Naumia sana
 
Sheikh wangu tuliteka wangapi? Na wao wameua wangapi na kuharibu kabisa Gaza yetu? Hali yetu na hasara yetu ni kubwa sheikh wangu. Naumia sana
Israel lini alisema watu wake wamekufa ukisikia anasema 3 basi X 10 ndio jawabu lake.
 
Mimi nimeisha kuambia Qur'an imetoa challenge miaka 1448 sasa hakuna aliye jaribu kutoa Surah yenye mstari mmoja
Hiyo ni hoja ya kijinga sana unajua zamani watu wengi sana walikuwa hawajui kusoma na kuandika hata Mohamed alikuwa hajui.

Kwahiyo Mtu ambae hajui kuandika na kusoma unaweza kumpiga mkwara kwamba lete hata Aya moja na nusu mfano wa hizi za kuruani.
 
Aliye challenge ni Mungu, sio Mtume Muhammad na pia fahamu Mungu ndio alimjalia kusoma kwa uwezo wake. We huna jipya. Sa vipi Yesu aliongea bado hana hata meno? Vipi Mtume Muhammad asiweza kuelewa kusoma wakati alifundishwa asome kwa njia ya Gabriel.

Hamna lolote nyie mmebaki uzushi, mimi nakuliza nani aliye leta dini ya Ukristo?

Ukristo ni dini ya nani? Yesu hakuwa mkristo nani aliye leta ukristo? Na aliye leta ukristo dalili zake zipo wapi kama ukristo umetoka kwa Mungu.
 
Story za Jesus imekopiwa na kuwa Story ya Issa

Story ya Moses imekopiwa na kuwa ya Musa.

Story nyingi zimekopiwa na kubadilishwa kidogo ili kumchangaya msomaji.

BILA YA UYAHUDI NA UKRISTO KUSINGEKUWEPO NA UISILAMU.

Hizo story Zote ulizozieleza ziko tofauti kabisa Kati ya biblia na Quran. Tafadhali usiwe mvivu nilikuwekea link usome , tulia usome , usiropokwe tu bila ushahidi.
Soma kitabu

The Bible the Quran and science by Maurice Bucaile

Humo kaeleza yote
 
Hizo story Zote ulizozieleza ziko tofauti kabisa Kati ya biblia na Quran
Kwahiyo Jesus wa kwenye Biblia sio Issa wa kwenye Quruani au Moses wa kwenye Bibilia sio Musa wa kwenye Quruani?
 
Hizo story Zote ulizozieleza ziko tofauti kabisa Kati ya biblia na Quran. Tafadhali usiwe mvivu nilikuwekea link usome , tulia usome , usiropokwe tu bila ushahidi.
Soma kitabu

The Bible the Quran and science by Maurice Bucaile

Humo kaeleza yote
Huyo hana jipya ataruka kuanzisha swali lingine halihusiki na alicho sema mwanzo 😄 🤣
 
Kwahiyo Jesus wa kwenye Biblia sio Issa wa kwenye Quruani au Moses wa kwenye Bibilia sio Musa wa kwenye Quruani?
Wameanza kukana wanachohubiri kila siku simply kwa matamanio ya muda mfupi. Kesho kwa muktadha tofauti atabadili kauli haoni shida kukuambia ni hao hao! Hao ni manafiki shwaitwain arudi chuo!
 
Wameanza kukana wanachohubiri kila siku simply kwa matamanio ya muda mfupi. Kesho kwa muktadha tofauti atabadili kauli haoni shida kukuambia ni hao hao! Hao ni manafiki shwaitwain arudi chuo!

Jesus wa biblia na Quran tunaweza kusema ni tofauti kwani Jesus wa biblia kwa mujibu wa biblia ametokana na uzao wa kizazi cha zinaa , na biblia imesema mtu anayetokana na kizazi cha zinaa hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu
 
Back
Top Bottom