Idiot Duale speaking on Jaguar's saga

KRA has lately imposed 25 per cent duty on such products, ostensibly on reciprocal response to similar treatment of palm and industrial sugar-based products from Nairobi by the Tanzania Revenue Authority.
Now fukuza petty traders in Gikomba n see what we will happen to ur people!
 
Kenyans think that Tz is that of 1990s. They had to bring everything from kenya. That is a very big mistake they are making. Why jaguar has to force tanzanians out of kenya in the first place. The language he used wasnt good. More kenyans are in tz than tzs in kenya.
 
Ukweli ni kwamba hizi chokochoko za Tanzania dhidi ya Kenya zikiendelea hivi, ni wazi hatutaishia pazuri, siungi mkono sera za kuwafurusha Watanzania walioko huku, pia sikubaliani na kauli za kugomea bidhaa kutoka Tanzania, lakini namkubali Duale kwa hili la kuhimiza Tanzania ijadiliwe bungeni, uhusiano wetu naa nyie umeharibika pakubwa, tunadanganyana kwa kukenua meno, lakini kiukweli nyuma ya pazia kuna mengi yanatokota.

Muda umefika hili lijadiliwe na kila kitu kiwekwe juu ya meza, ieleweke wapi tunakwenda. Hata kwenye ndoa, ipo wakati wana ndoa huamua kutibua ili liongelewe. Wabunge wetu waibue mada ya kujadili uhusiano wetu na Tanzania maana serikali yetu imegoma kutulinda dhidi ya udhalimu wenu.
 
WaKenya in Tzed are serious investors and professionals but the Tzedians in Kenya are omba omba types in the streets
 
Mkimaliza kufukuza watanzania,mtamwambia Duale arudi kwao Somalia
 
Mkimaliza kufukuza watanzania,mtamwambia Duale arudi kwao Somalia

Duale ni Mkenya kama walivyo Wakenya wenye asili ya Kisomali ambao ni takriban milioni moja, na hakuna Mtanzania anafukuzwa, ila imefika muda mjadiliwe.
 
Imagine an imbecile with faeces in between his ears calling a human being 'IDIOT'
 
Huo ndo unafiki ambao ilkuwa tunauongelea...kwn bidhaa zikitoka kw jirani yako kuna shida gani...ndo manake wazanzibar hawawataki pia
 
Now fukuza petty traders in Gikomba n see what we will happen to ur people!
Utamfukuza mtu ambae ako na work permit..naona mwaka huu wabunge watawabana boader km km mnavoyotubania...najua hamtoweza kuvumilia...yatatokea hayo uliyatoa kwenye hyo kauli yako...ushindi kw wakenya

Tutapata support kimataifa kirahisi..ju sisi tulitoa wachuuzi nynyi yenu mkafukuza wakenya wote mpka wenye vibali...wewe hujui dunia inavyoenda
 
Huo ndo unafiki ambao ilkuwa tunauongelea...kwn bidhaa zikitoka kw jirani yako kuna shida gani...ndo manake wazanzibar hawawataki pia
Iyo chuki yenu bakizeni huko huko, Ushawahi sikia mzenji au mbara akifukuzwa zenji enyewe zambi ya ukabila Haiwezi kukuacha salama
 
Iyo chuki yenu bakizeni huko huko, Ushawahi sikia mzenji au mbara akifukuzwa zenji enyewe zambi ya ukabila Haiwezi kukuacha salama
Je ya binadamu mwenzako(albino)iwaachaje?[emoji26][emoji26][emoji26]
 
Someone with senses responding to Dualle
 
Duale ni Mkenya kama walivyo Wakenya wenye asili ya Kisomali ambao ni takriban milioni moja, na hakuna Mtanzania anafukuzwa, ila imefika muda mjadiliwe.
Ukiona unajadiliwa na mijitu yenye roho mbaya kama mikenya,ujue umeishika pabaya
Nyie anzisheni tu choko choko,sie tukifungia tu safari za KQ kampuni itakufa
Halafu unataka kumjadili mtu uliempa oder ya tani laki moja za mahindi!kweli mmechanganyikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…